Dina Marious wa Clouds FM: Mtangazaji anayekuja juu!

Hivi wakuu mnazungumzia redio ipi? Clouds hii hii 88.4? hakuna la kushangaza hapo!

Dah, kumbe ni blah blah tu hapo! Nadhani ni kweli maana haijakaa vizuri watangazaji wawili wa kipindi kimoja kuondoka pamoja (Masoud na Fina).
 
Jamani kipindi hiki cha Dina Marious mbona hakisikiki au amefukuzwa kazi Clouds.

Mwenye taarifa zaidi anipe taarifa.

Yaekejea kapigwa chini huyu mdada au anatikisa kibiriti kuona kama kimejaa halo!!
 
Jumatatu ya tarehe 29 june mungu akipenda naweza kuwa hewani katika leotena najua mmenimiss na mnaimiss leo tena kama ninavyowa miss mimi tuombeane heri na uzima
Source: Dina Marios

Mwanajamiione mpaka leo hii si Gea wala Dina kusikika kwenye leo tena hawa watakuwa wamepigwa chini tu.Kwani Dina hajatekeleza hata maelelezo aloweka kwenye blog yake kuwa tarehe 29 atakuwa hewani.Ila kwa kuwa alisema mungu akipenda inawezeakana kuwa mungu hajapenda?
 
Mkuu blog ya Dina inaitwaje?
 
Wewe ndo Dina mwenyewe mwenye kipindi?

Aah wapi ndugu yangu, majina tu. Mie ndio ningekuwa mtangazaji, utazima redio bure ukaishia na kuichukia redio yako! Sauti yangu ya kugombezea watu tu.
 
asante, kumbe watu wanajirusha na simu mi ya kwangu ya mwaka 99 enzi hizo hakuna,,,,eeh vizuri umelog in DIna tuambie kulikoni si unaina watu wanakutafuta lol...au huyu ni Dina mwingine...hahaha

Hapana mkuu, majina tu yamegongana....sauti ya kiutangazaji naisaka kweli lakini holaa....
 
Sijasikia bado sijui kachukua likizo ndefu? Lakini alisema J3 anaanza kazi lakini nasikia sauti ingine kabisa.
 
Profile: DINA MARIOS..mie ni mtangazaji na mtayarishaji wa kipindi cha LEOTENA kupitia radio ya watu clouds fm 88.4 kuanzia saa 9:00(tatu) asubuhi mpaka saa 01:00(saba)mchana..

Huyu diva anayekuja juu
6052d1254302399-dina-marios-toto-la-kihaya-laja-juu-pc-cd-5-.jpg
 
Attachments

  • PC,+CD (5).JPG
    PC,+CD (5).JPG
    21.2 KB · Views: 685
Profile: DINA MARIOS..mie ni mtangazaji na mtayarishaji wa kipindi cha LEOTENA kupitia radio ya watu clouds fm 88.4 kuanzia saa 9:00(tatu) asubuhi mpaka saa 01:00(saba)mchana..

Huyu diva anayekuja juu
6052d1254302399-dina-marios-toto-la-kihaya-laja-juu-pc-cd-5-.jpg
...Ni-PM mazee unitapatie mobile namba yake mtoto ana vitu adimu huyu!!
 
Hebu basi muwe mnaenda kwenye archives.... huu udaku ulishajadiliwa kule!!!

naona zeutamu at work... do not disturb!
 
Uhaya umeingiaje hapo, je, isingetosha kusema "Mtangazaji anayekuja juu" ?
 
Jamani kachukua likizo fupi si mnajua tena akina mama.

Mkuu ulipotea kiaina. Watu wamekuchokoza zana humu ndani na mpwao. Haya twambie mkuu, kina mama ndo wa kuchukua likizo fupi peke yao? Au wamaanisha nini weye?
 
Back
Top Bottom