minda JF-Expert Member Joined Oct 2, 2009 Posts 1,068 Reaction score 67 Oct 6, 2010 #1 kwa hakika mungu amemjalia huyu dada sura nzuri!!!!!!
Who Cares? JF-Expert Member Joined Jul 11, 2008 Posts 3,507 Reaction score 3,376 Oct 6, 2010 #2 mnhhh...naomba huo uwe ni "mtazamo wako".... mie namwona wa kawaida tuu...to my standards she is bellow the pass marks ( ni mtazamo na maoni yangu tuu)
mnhhh...naomba huo uwe ni "mtazamo wako".... mie namwona wa kawaida tuu...to my standards she is bellow the pass marks ( ni mtazamo na maoni yangu tuu)
SILENT WHISPER JF-Expert Member Joined Jun 26, 2009 Posts 2,209 Reaction score 824 Oct 6, 2010 #3 hizo picha ni za mtu mmoja ama tofauti...? manake wawili wazuri na wawili hmmmmmmm....!
zaratustra JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 848 Reaction score 225 Oct 6, 2010 #4 He! Kumbe Dina ni mnene hivyo?? Au siyo yeye? Anyway huwa namfurahia sana huyu bibie jinsi anavyoongea kwenye vipindi anavyoviongoza(tangaza)!
He! Kumbe Dina ni mnene hivyo?? Au siyo yeye? Anyway huwa namfurahia sana huyu bibie jinsi anavyoongea kwenye vipindi anavyoviongoza(tangaza)!
Akili Unazo! JF-Expert Member Joined Feb 18, 2009 Posts 3,930 Reaction score 4,934 Oct 6, 2010 #5 mbona siioni hiyo sura nzuri?
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,499 Oct 6, 2010 #6 Jamani Dina mzuri na hizo dipo dahhh unaweza poteza network
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,499 Oct 6, 2010 #7 Akili Unazo! said: mbona siioni hiyo sura nzuri? Click to expand... Unamaana hapo juu huoni? Mtoto anapua ndefu ka Msonjo yaani we acha tu.
Akili Unazo! said: mbona siioni hiyo sura nzuri? Click to expand... Unamaana hapo juu huoni? Mtoto anapua ndefu ka Msonjo yaani we acha tu.
LeopoldByongje JF-Expert Member Joined Apr 28, 2008 Posts 372 Reaction score 14 Oct 6, 2010 #8 Ndiyo alikuwa mzuri. Lakini sasa kajiachia na uzuri unapungua kadiri anavyozidikunenepeana. Mshauri apunguze unene huo. Kwanza si jambo zuri kiafya.
Ndiyo alikuwa mzuri. Lakini sasa kajiachia na uzuri unapungua kadiri anavyozidikunenepeana. Mshauri apunguze unene huo. Kwanza si jambo zuri kiafya.
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,265 Reaction score 8,094 Oct 6, 2010 #9 angel face? I thought malaika wote wala sura za kidhungu au kiarabu!!!!!!!!
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Oct 6, 2010 #10 I adore this lady...the way she is......anajiheshimu sana na pia ni mzuri
Kunta Kinte JF-Expert Member Joined May 18, 2009 Posts 3,690 Reaction score 1,293 Oct 6, 2010 #11 Kwani huyo anayelishwa keki ndio huyo huyo kwenye picha za mwanzo? Naona kuna tofauti kubwa
Kachanchabuseta JF-Expert Member Joined Mar 8, 2010 Posts 7,263 Reaction score 684 Oct 6, 2010 #12 Kweli mkuu umekosa wazuri Nikiangalia naona KICHEFUCHEFU
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,946 Reaction score 38,665 Oct 6, 2010 #13 Aliwahi kuwa mwanaume zamani? mbona sura yake ime......?
L Linababy Member Joined Oct 5, 2010 Posts 56 Reaction score 1 Oct 6, 2010 #14 Kwa kweli uzuri ni relative, kizuri kwangu kibaya kwa mwenzio. Kwangu mimi namuona Dina yuko mwake. namaanisha mzuri.
Kwa kweli uzuri ni relative, kizuri kwangu kibaya kwa mwenzio. Kwangu mimi namuona Dina yuko mwake. namaanisha mzuri.
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,409 Oct 6, 2010 #15 preta said: i adore this lady...the way she is......anajiheshimu sana na pia ni mzuri Click to expand... akija bj atakwambia vingine preta kweli naona kila mtu na mtizamo wake
preta said: i adore this lady...the way she is......anajiheshimu sana na pia ni mzuri Click to expand... akija bj atakwambia vingine preta kweli naona kila mtu na mtizamo wake
Engineer2 Senior Member Joined Mar 31, 2009 Posts 126 Reaction score 15 Oct 6, 2010 #16 Hakuna binadamu mbaya, kila binadamu ameumbwa kwa mfano wa Mungu ndo maandiko yasemavyo, hivyo kila binadamu ni mfano wa Mungu.
Hakuna binadamu mbaya, kila binadamu ameumbwa kwa mfano wa Mungu ndo maandiko yasemavyo, hivyo kila binadamu ni mfano wa Mungu.
minda JF-Expert Member Joined Oct 2, 2009 Posts 1,068 Reaction score 67 Oct 6, 2010 Thread starter #17
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,197 Reaction score 18,226 Oct 6, 2010 #18 Kachanchabuseta said: Kweli mkuu umekosa wazuri Nikiangalia naona KICHEFUCHEFU Click to expand... lete na wewe sura yako hapa... tuone kama watu hawataharisha kabisa
Kachanchabuseta said: Kweli mkuu umekosa wazuri Nikiangalia naona KICHEFUCHEFU Click to expand... lete na wewe sura yako hapa... tuone kama watu hawataharisha kabisa
Kachanchabuseta JF-Expert Member Joined Mar 8, 2010 Posts 7,263 Reaction score 684 Oct 6, 2010 #19 Acid said: lete na wewe sura yako hapa... tuone kama watu hawataharisha kabisa Click to expand... Kuna haja gani ya kuleta ya kwangu hapa? kwani huyu mkeo?
Acid said: lete na wewe sura yako hapa... tuone kama watu hawataharisha kabisa Click to expand... Kuna haja gani ya kuleta ya kwangu hapa? kwani huyu mkeo?
Fixed Point JF-Expert Member Joined Sep 30, 2009 Posts 11,304 Reaction score 12,753 Oct 6, 2010 #20 Kila mtu na mtazamo wake!