mauki barakuda
Senior Member
- Apr 17, 2015
- 126
- 31
Huyu dada alikua mtangazaji mzuri sana Clouds Fm kipindi cha Leo Tena.
Aliacha mda mrefu bila sababu za msingi sana.
Namkubali sana huyu dada namtakia kila la heri huko
Mbona sababu ipo mkuu, au unataka kupindisha ukweli!?
Kuna binti mmoja yuko pale ni mtangazaj pia anatoka na mkubwa ndo alimchomea bidada akapigwa benchi kwa kipindi kisichojulikana.
God is good all the time, namtakia kila lenye kheri ktk utangazaji na biashara yake ya mafuta ya nazi ya watoto.