Dimples na mwanya havichakachuliki

mwanya ni tatizo katika mpangilio wa meno......kwa kawaida no spacing kati ya jino na jino
 
Hahaaa. Umenichekesha pacha ila using'oe bana.

Hujamsikia mshana kasema kuna vitu havichakachuliki. Ila weekend hii tunaimaliza kwa kusifiwa lol.
Hahahahh
Yaani hii wiki wametupumzisha kashfa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…