Mkuu, cheki inbox yako halafu unipe jibu!!!Kuna dili la uhakika nililodekezewa na marafiki zangu wa maana na wenye wadhifa kuwa serikali ya South sudan inatafuta watanzania educated waende wakashike wadhifa mkubwa kwenye sekta mbali mbali kama TRA ya kule n.k…..kama mwenye kuhitaji aniandikie private message….changamkieni dili wakulu.
Hapana mkuu.....haifiki USD 300...dili hili haliwezi free of charge halijatolewa na UN ni agency ambayo imechukua kama tenda ua kupeleka rasilimali watu kule.....wakuu ni deal u know wat i mean.....so haliwezi kuwa free....Mkuu Yo Yo,
Yana uhakika haya mambo kweli? isije ikawa kama ile dili ya jamaa yetu FMES.....ya kuchangia USD 300 etc? Ngoja nikurushie PM!
Hapana mkuu.....haifiki USD 300...dili hili haliwezi free of charge halijatolewa na UN ni agency ambayo imechukua kama tenda ua kupeleka rasilimali watu kule.....wakuu ni deal u know wat i mean.....so haliwezi kuwa free....
hapana mkuu.....sharia ipo juu Khartoum....south ni kristo tu.....Yo Yo ndugu yangu hii nchi ilivyo hata wakinitaka sasa hivi nahama na familia yote umeme tabu, hospitalini mwananyamala wanacheza deal hadi na miili ya vitoto vichanga, maji taabu, kazi kujuana juana tu. Sema kule si ndio kuna Sharia???
Kuna dili la uhakika nililodekezewa na marafiki zangu wa maana na wenye wadhifa kuwa serikali ya South sudan inatafuta watanzania educated waende wakashike wadhifa mkubwa kwenye sekta mbali mbali kama TRA ya kule n.k…..kama mwenye kuhitaji aniandikie private message….changamkieni dili wakulu.