Dili eneo la Trucks and Machinery Arusha linauzwa

Dili eneo la Trucks and Machinery Arusha linauzwa

harakat

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
2,887
Reaction score
1,361
Mzungu anayemiliki godown hilo tajwa ambayo ina heka tano
Nyumba kubwa ya vyumba vitano pamoja na master bedroom pia inaweza kuongezewa ikawa gorofa
Servant corters mbili zenye chumba na sitting room
nyumba ya mlizi
genereta la emergence
pamoja na karakana ambayo unaweza paki scania 8 (nane)
Eneo lote limezungushiwa fence ndefu na imara
eneo linafaa kwa kuweka campsite kwa wazungu maana vifaa vyote kwa ajili hiyo vipo
pamoja na hiyo karakana kwa ajili ya kukarabati trucks ambazo zinapata mechanical problem
Eneo lipo maeneo ya sakina baada ya baa ya songambele.Bei ni kuanzia billion 3 na maelewano yapo

Nimeshindwa weka picha maana eneo ni kubwa na lina vitu vingi kama nilivyoelezea hapo juu.
mawasiliano 0767 931887




 
bilions? weting? nyie arusha achene masihara na hela hio nanunua eka 2 bagamoyo najenga 4star hotel na chenji inabaki, arusha na hayo mabomu utalii wenyewe umeanzakupungua
 
Kweli. B3 sio kipande cha mkate kwamba watu wanaweza fika bei hapana ila kuna mtu anaweza fika bei
 
Ekari 5, sakina, na eneo liko developed halafu watu wanashangaa kwani umeambiwa unanunua kiwanja cha kujenga nyumba. Hilo eneo limekaa kibiashara, pamoja na kwamba bei iko inflated kidogo lakini ndiyo mumohumo.
 
Watu wanaogopa b wamezoea kusikia m tu ndio maana
 
Back
Top Bottom