Dilemma!!!

Katika watu walionikosha ww umeshika nafasi ya kwanza! Personally i have always had a preference for older guys (i don't mean old as in old) but someone who is atleast 7 to 10yrs older than me coz i believe that at that age a man is mature and knows what he's doing. Sasa this time round nikaseme lemmi try pple within my age bracket,dah! Majanga! Just as you've said, tatizo sio uume, tatizo ni uvivu na ujinga ukichanganya na kujitia wakisasa zaidi, i freaking hate this part ryt here and wish i could do something about it!
 
He is 29yrs old and i am 28. He is a business man.

Binti huyo dogo hana kasichana nje?

Kama hana kagua kama alikuwa mpigaji wa punyeto au hadi sasa kama anapiga
Pia kagua kama ni muangaliaji sana wa filam za ngono

Kama anafanya hayo yote mwambie aache kabisa
Halafu mwambie kila akiamka asubuhi aanze ka utaratibu ka kufanya mazoezi na awe anakunywa maji mengi kama lita 3 kila subuhi

Hapo utaona mabadiliko kidogo kidogo!!!!
 

Pole sana
Achana na hao vijana wanaojidai wa kisasa

Mimi huwa nawahurumia wale wadada waojidai kuwazimia masharobaro
Najua tu watajilaumu sana!
 
Trust me i know myself way better than this. Kama suala ni usafi basi ningeshapata hii complain from my previous relationship. I was in a steady relationship for 5yrs and my spouse would gimme head and stuff so tatizo sio usafi. I have a strong feeling that the guy is feeling a lil incompetent compared to me coz the first time we made love he was wowed by my expertise,sasa naona kama anajiona yy sio mwanaume kamili compared to what i could do to him.
 
Tutake radhi aiseee
Sio wote wenye matatizo haya ya kijinga

Halafu rekebisha lugha
Sio wanaume ni wavulana

Pia hilo sio tatizo la uume bana ni uvivu na ujinga ukichanganya na u digitali
CC: Kaizer kwa taarifa!

sawa naomba msamaha Eiyer jana hata me nilipost tatizo kama la huyu dada, ambayo rafiki yangu linamkumba na mwenye tatizo ana miaka kama 30 hivi huyu ni mvulana kwani? naomba ms
 

Nimekuelewa mkuu,ngoja wanangu niwafundishe kula dona!!!!
Leo nimemkumbuka mwl wangu wa kisw,hivi Debe tupu haliachi kutika ni methali,kitendawili au tafsida?
Kiswahili cha kwenye madaftari kigumuuu!!!
 
sawa naomba msamaha Eiyer jana hata me nilipost tatizo kama la huyu dada, ambayo rafiki yangu linamkumba na mwenye tatizo ana miaka kama 30 hivi huyu ni mvulana kwani? naomba ms

Kuwa mwanaume sio kuwa na umri japokuwa kuna ka uhusiano kidogo

Kuwa mwanaume ni kujijua na kujua majukumu yako
Kama mtu unashindwa kujua kuwa unahitajika umridhisha mpenzi/mkeo je unawezaje kutimiza kajukumu yako mengine?

Hapo ndipo tunapodiriki kusema huyo sio mwanaume bali ni mvulana japokuwa umri wake umekwenda kidogo!!!!!
 
Nimekuelewa mkuu,ngoja wanangu niwafundishe kula dona!!!!
Leo nimemkumbuka mwl wangu wa kisw,hivi Debe tupu haliachi kutika ni methali,kitendawili au tafsida?
Kiswahili cha kwenye madaftari kigumuuu!!!

Safi sana

Waambie waachane na sembe,sembe ni ubishoo tu na haya ndio matokeo yake!!!!!
 
aione sista mwenzangu Heaven on Earth.
 
Last edited by a moderator:
aione sista mwenzangu Heaven on Earth.

Khaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!

Tafadhali Mods hebu nisaidieni kumpiga ban ya muda Heaven on Earth ili asiione hii
Halafu wewe nimekuonya kwa herufi kubwa,ole wako ukazifikisha hizi taarifa

Na mwenzako Ennie nimeshamuonya
Atakae mwambia tu sijui atampa nini baba paroko ili asimshikishe adabu!!!
 
Last edited by a moderator:

okey naow nimeelewa........ sasa watasaidikaje kwa sababu linaonekana ni tatizo lipo kwa kasi sana?
 
Anakuja na hamna rangi utaacha kuona
 
okey naow nimeelewa........ sasa watasaidikaje kwa sababu linaonekana ni tatizo lipo kwa kasi sana?

Kwanza tatizo linaanzia kwenu nyie wadada

Mnawapenda sana hawa mabazazi,yakiwafika ndio mnakuja hapa kulalama
Mnawapenda hawa mabishoo sijui kwanini,mkipigwa vesi na vijana wa shoka wanaojua majukumu yao mnadai eti hawaendi na wakati,mnataka wawe wanapaka poda na kukaa kwenye dressing table saa nzima kama nyie

Nyambaf zenu

Mkikuta kijana anakula dona kilo moja mnasema huyo sio wa karne ya 21

Tatizo lingine ni kwa hawa wavulana
Wanajidai eti kuishi maisha ya kina Allejandro na kina sijui nani waliowaona kwenye tamthilia zenu zile
Hovyo kabisa,akiona fulani anakunywa ka juice nusu glasi nae anataka kuzileta hizo swaga uswahilini
Wavuvu wa kujishughulisha na kufanya mazoezi,unakuta kavulkana hakawezi hata kupiga push up 5,unategemea huyo atakugegeda kisawasawa kweli?

Kijana ukimuangalia uso wake ni nyororo utadhani wa dada yake na pengine anaweza kuuzidi wa dada yake
CC: snowhite !!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…