Dikteta Kagame

Dikteta Kagame

BETTY MSIGWA

Member
Joined
Aug 8, 2016
Posts
43
Reaction score
36
kagame..jpg
Kagame ni dictator zaidi ya Idd Amin na Mwalimu wa JPM
 
Mwalimu wa jpm ndio nani si utaje tu vizuri au unaogopa risasi mkuu!!
 
Jamaa yake yuko huku kagama njoo umchukue watanzania hawamtaki


Swissme
 
Dikteta mwingine ni Mboe.

Ukimkosoa tu kwisha habari yako
 
Ngoja noah za Rwanda zikufuate hahaha

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Naisikitikia EAC, haipo salama tena. Heri ya nini sijui.......!
 
Back
Top Bottom