thadei kimambo
JF-Expert Member
- Jan 31, 2013
- 220
- 126
Mzee kapanda kwenye daladala kakaa karibu na kadent akakaomba namba za simu,Dent akasema sina simu labda nikupe E-mail yangu. Mzee akasema nipe e-mail yako.Dent akamwandikia e-mail:- UMECHOKA@UTANIFIA KIFUANI.COM. Mzee nae akamwandikia e-mail yake HUNASWAGA@HAULIPI KIVILE.COM.¤¤