Edward Chapa
Member
- Jun 30, 2012
- 72
- 12
Habari wanajamaii forums
Samahani Nina television yangu ni flat digital nimeweka antenna tu bila king'amuzi ninapata channel nne tu ubc,citizen,ktn na Emmanuel tv,lakini channel za Tanzania hazionyeshi japo kuwa zipo! Nifanyaje ili nizipate??Nawatakia siku njema