Kutokuwa madukani sio hoja kwamba huwezi kununua.
Cha msingi ulizia mafundi je,zinavifaa vyake yaani spare bado zinapatikana?
Maana kabla ya hapo zilikuwepo na zipo,sasa fundi atakupa ushauri kama ununue au usinunue.
Navuta hisia kwamba ni zile za kupiga na inalia kwashpafchap