Digital essay

Sashay

Member
Jan 20, 2010
38
1
Naomba kwa anayejua jinsi ya kuandika/kutengeneza 'digital essay'. Nina-apply short courses za Netherlands, katika vitu wanavyotaka niambatanishe na application yangu ni pamoja na digital essay ya maneno 200, wamenipa topic. Sasa kwa ukweli sijawahi kuandika kitu kama hiki kwa hiyo kwa yule aliye na ujuzi huu anipe ideas.
 
nadhani digital essay ni kuandika kisha uitume kama 'soft copy' kwa kutumia barua pepe zao au katika hizo form unazo apply kutakuwa na mahali pa ku-attach, goodluck!
 
Mzee, kweli hujawahi kuandika "essay". Hii post akiiona hata mwallimu wako wa primary school atatamani kulia! Sema labda hiyo topic waliyokupa inakusumbua, lakini kama ni kweli hujui kuandika essay basi haustahili hata hiyo course!!! kweli kabisa mzee.....im afraid 2 say so!
 
wewe hujamuelewa!
tatizo sio kuandika essay! ameshindwa kuelewa digital essay ndio nini! Nashindwa kuelewa kwani digital essay zingine zinatengenezwa kwa HTML, sijui ya huyu kijana wamemwambiaje!
 
nadhani digital essay ni kuandika kisha uitume kama 'soft copy' kwa kutumia barua pepe zao au katika hizo form unazo apply kutakuwa na mahali pa ku-attach, goodluck!

Asante Pape,kwa kunijibu bila kuniponda km wengine, mimi ilikuwa inanitatiza walivyosema digital, nikawa nawaza labda wanataka niandike hiyo essay halafu nilijirecord wakati na-present that essay. Naona ngoja nijaribu na kutuma soft copy. Thank you.
 
Asante sana kaka Amoeba,ila naomba ukumbuke kuuliza si ujinga na hamna mtu anajua kila kitu hapa duniani. Tatizo sio kuandika essay tatizo ni wanaposema digital essay wanamaanisha nini?ni-attach hiyo essay km soft copy au kma video?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom