malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,918
- 4,709
Habar wakuu majibu yavipimo diffused multnodular goita maana yake nin
Vivimbe vilivyosambaa kwa eneo kubwa ndani ya tezi la thyroid la mgonjwa mwenye goitre.Habar wakuu majibu yavipimo diffused multnodular goita maana yake nin
Hivo vivimbe husababishwa na nin naje vivimbe kwenye Hilo tezi huwa vinapungua na tezi kurud kawaidaVivimbe vilivyosambaa kwa eneo kubwa ndani ya tezi la thyroid la mgonjwa mwenye goitre.
Kwaiyo goita ndo hiyo vivimbe kwenye tezi ya thyroid ndo huitwa goita amaVivimbe vilivyosambaa kwa eneo kubwa ndani ya tezi la thyroid la mgonjwa mwenye goitre.