Java is a programming language, JavaScript is a scripting language!Kunatofauti gani kati ya JavaScript na java? Ipi ni programming language ya kuanzanayo kama beginner ambae unataka kujifunza jinsi ya kutengeneza program?
Php is for back end web development! Mfano kutengeneza login system kama hii ya jf na ku i link na database, sasa hapo ndio unatumia php... Sio php tu, pia ziko python na ruby!!Huhitaji kusoma php?
zote ni programming languages ila kwa matumizi tofautiKunatofauti gani kati ya JavaScript na java? Ipi ni programming language ya kuanzanayo kama beginner ambae unataka kujifunza jinsi ya kutengeneza program?
Kujifunza pascal miaka hii ni kama wastage of time!! Sijasoma CS wala IT chuoni ila nilianza na java na kuielewa bila shida!!zote ni programming languages ila kwa matumizi tofauti
pamoja na majina kufanana lakini ni language mbili tofauti kabisa
JavaScript inatumika zaidi kwenye utengenezaji wa web sites while Java INA matumizi mengi toka games, websites, embedded systems na pia stand alone applications.
kama unataka kujifunza then sidhani kama uanze na java. ningerecommend c au pascal
ndio maana nilisema pascal au c ili awe na basics then aje kwenye java. but it all depend anataka kuwa programmer ? aina gani ya programmer (desktop, system,etc)Kujifunza pascal miaka hii ni kama wastage of time!! Sijasoma CS wala IT chuoni ila nilianza na java na kuielewa bila shida!!
Atleast asome C au java au akiwa na moyo apige C++!! C++ ina cover mambo mengi sana na itamuwezesha kujua OOP kwa undan sana tofauti na java!!
Mfano kwenye java hamna "direct multiple inheritance" wala mambo ya memory allocation na pointers ila haya yote kwenye C++!!
Again kama ana moyo asome C/C++ ila kwa case yake kama anataka software development asome kidogo C then akomae na java!!
Pascal BIG NO!