Kasoma..law schoolKwanini wanajiita wakili msomi?
What if i studied "post graduate diploma in law, mediation and arbitration" katika chuo cha ustawi wq jamii??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanasheria "msomi" ni yule ambaye ni wakili.Kwanini wanajiita wakili msomi?
Kwanini wanajiita wakili msomi?
Mbwembe tu za wabongo hakuna cha usomi wa nini. Asa madactari maeng etc nao wakiamza kujiita eng msomi itakuwaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana kwa ufafanuzi huo, hongera sana kiongozi.Mwanasheria "msomi" ni yule ambaye ni wakili.
Anaitwa msomi kwa sababu wakili katika utendaji wake ana uwezo wa kumwakilisha mtu mwingine mwenye fani yoyote mfano dokta, injinia, rubani n.k
Kwamba anapomwakilisha mtu mwingine, mtu huyo anayewakilishwa mahakamani humtegemea wakili kumsemea na kumwongoza kwa kila jambo hata yale ya fani yake pia...
Ndugu yetu wa PCB na PCM naona umeshapata dawa ya Corona na vifaa tiba, umetengeneza.