difference btn RWANDA and ISRAEL against tz...

Hute

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,537
Reaction score
6,482
Wanyarwanda wengi wamekuwa wakijilinganisha na Waisrael, kwamba wao hata kama ni wachache, wanazo nguvu kijeshi kuweza kuipiga Tanzania. utofauti wake nimeona ni kwamba, israel inashinda vita kwasababu kitu cha kwanza wao ni taifa la kibiblia la Mungu, pili ni kwamba, Israel ina umoja sana, wayahudi wana umoja wote, na hata wale waliopo nje ya israel wana umoja. wakati Rwanda hawana umoja, wamegawanyika kikabila, kiasi kwamba mhutu wa Rwanda ambao ndio majority, hawawezi kushirikiana vizuri na watusi ambao ni wachache. kwa maana hiyo ni kwamba, kagame anao maadui wengi ndani ya nchi yake mwenyewe kuliko wale waliopo nje ya nchi na kama vita ikipigwa dhidi ya Rwanda kagame anayo disadvantage wanyarwanda kusaidia adui ili kumng'oa.

kwamfano: Tanzania ikiingia kuipiga Rwanda, Wahutu wote wataisapoti na kuisaliti Rwanda ili kumng'oa kagame aliyeua wahutu wengi mno na wakongo. kama ilivyokuwa idd amin, majeshi ya Tanzania yalipoingia uganda yalisaidiwa sana na waganda waliokuwa wanamchukia iddi amini. ndio maana kuna umuhimu sana kwa nchi kuwa na umoja ili tusisalitiane.

hivyo, pamoja na kwamba wapo wanyarwanda wengi hapa tz ambao wanatoa siri kwa kagame, bado kagame mwenyewe anao maadui wengi sana ndani ya Rwanda kuliko nje ya Rwanda, wengine ni watusi wenzake hawampendi, watapenda kuisapoti tz ili kagame atoke. huu ni udhaifu mkubwa sana ambao TPDF inaweza kuutumia kama ikiamua kuisambaratisha ngome ya kagame, itafanya hivyo kwa kutumia wanyarwanda wenyewe.
 
wanyarwanda wengi wamekuwa wakijilinganisha na waisrael, kwamba wao hata kama ni wachache, wanazo nguvu kijeshi kuweza kuipiga tanzania. Utofauti wake nimeona ni kwamba, israel inashinda vita kwasababu kitu cha kwanza wao ni taifa la kibiblia la mungu, pili ni kwamba, israel ina umoja sana, wayahudi wana umoja wote, na hata wale waliopo nje ya israel wana umoja. Wakati rwanda hawana umoja, wamegawanyika kikabila, kiasi kwamba mhutu wa rwanda ambao ndio majority, hawawezi kushirikiana vizuri na watusi ambao ni wachache. Kwa maana hiyo ni kwamba, kagame anao maadui wengi ndani ya nchi yake mwenyewe kuliko wale waliopo nje ya nchi na kama vita ikipigwa dhidi ya rwanda kagame anayo disadvantage wanyarwanda kusaidia adui ili kumng'oa.

Kwamfano: Tanzania ikiingia kuipiga rwanda, wahutu wote wataisapoti na kuisaliti rwanda ili kumng'oa kagame aliyeua wahutu wengi mno na wakongo. Kama ilivyokuwa idd amin, majeshi ya tanzania yalipoingia uganda yalisaidiwa sana na waganda waliokuwa wanamchukia iddi amini. Ndio maana kuna umuhimu sana kwa nchi kuwa na umoja ili tusisalitiane.

Hivyo, pamoja na kwamba wapo wanyarwanda wengi hapa tz ambao wanatoa siri kwa kagame, bado kagame mwenyewe anao maadui wengi sana ndani ya rwanda kuliko nje ya rwanda, wengine ni watusi wenzake hawampendi, watapenda kuisapoti tz ili kagame atoke. Huu ni udhaifu mkubwa sana ambao tpdf inaweza kuutumia kama ikiamua kuisambaratisha ngome ya kagame, itafanya hivyo kwa kutumia wanyarwanda wenyewe.

vile vile kinyume na rwanda, kama vita itaanza wanyarwanda wengi na dunia wataiunga mkono tanzania kwa historia yake ya ukombozi na uimara wake katika utekelezaji wa haki za binadamu na kupinga ukoloni na ukandamizaji tofauti kabisa na rwanda wanaounga mkono machafuko, mauaji na uporaji wa mali asili za nchi jirani kupitia makundi ya kihalifu kama m 23.
 
Hivi kwa nini hamfikirii kumaliza mgogoro na Rwanda kwa njia ya mazungumzo ? Mpaka sasa sijaona juhudi zozote za maana za kidiplomasia kumaliza mgogoro huu kwa njia ya mazungumzo...!
 
Wanyarwanda wengi wamekuwa wakijilinganisha na Waisrael, kwamba wao hata kama ni wachache, wanazo nguvu kijeshi kuweza kuipiga Tanzania. utofauti wake nimeona ni kwamba, israel inashinda vita kwasababu kitu cha kwanza wao ni taifa la kibiblia la Mungu, pili ni kwamba, Israel ina umoja sana, wayahudi wana umoja wote, na hata wale waliopo nje ya israel wana umoja. wakati Rwanda hawana umoja, wamegawanyika kikabila, kiasi kwamba mhutu wa Rwanda ambao ndio majority, hawawezi kushirikiana vizuri na watusi ambao ni wachache. kwa maana hiyo ni kwamba, kagame anao maadui wengi ndani ya nchi yake mwenyewe kuliko wale waliopo nje ya nchi na kama vita ikipigwa dhidi ya Rwanda kagame anayo disadvantage wanyarwanda kusaidia adui ili kumng'oa.

kwamfano: Tanzania ikiingia kuipiga Rwanda, Wahutu wote wataisapoti na kuisaliti Rwanda ili kumng'oa kagame aliyeua wahutu wengi mno na wakongo. kama ilivyokuwa idd amin, majeshi ya Tanzania yalipoingia uganda yalisaidiwa sana na waganda waliokuwa wanamchukia iddi amini. ndio maana kuna umuhimu sana kwa nchi kuwa na umoja ili tusisalitiane.

hivyo, pamoja na kwamba wapo wanyarwanda wengi hapa tz ambao wanatoa siri kwa kagame, bado kagame mwenyewe anao maadui wengi sana ndani ya Rwanda kuliko nje ya Rwanda, wengine ni watusi wenzake hawampendi, watapenda kuisapoti tz ili kagame atoke. huu ni udhaifu mkubwa sana ambao TPDF inaweza kuutumia kama ikiamua kuisambaratisha ngome ya kagame, itafanya hivyo kwa kutumia wanyarwanda wenyewe.

Eti ''Israel ni Taifa la Kibiblia la Mungu''!!!!!!! Hata Tanzania ni Taifa la Mungu. Hivi kuna watu duniani bado wana mawazo ya kijingajinga. Badilika ndugu.
 
Kagame sasa hivi mawazo yake ameyahamishia kwenye uwepo wa MONUSCO kule Goma, na anajua sasa maji yapo shingoni kwani hata washirika wake wa M23 wameanza kushambuliwa.
 
Tuache kufikiria hayo, vita si lelemama zinaweza kuzusha front line kaskazini za marafiki zake, na kusini kwenye ziwa lenye matatizo pia, kwa matatizo tulionao ya vyama,muungano na dini tutafika wapi.
 
Tuacheunafki, wewe unayetaka vita ikija kaa mbele!! wewe unadhani kama punguani ataenda pigana vita ambavyo havina manufaa, eti tulimtoa Amin then tulipata faida gani??? na unajua kwanin Amini alivamia kagera??? Tanzania imekuwa mkombozi wa mataifa mengi kama south africa na zimbabwe ila tumenufaika nin mpaka tukakomboe congo???

Usidhani vita ni lelemama vijana, fikirini kwa kichwa na si huu ujinga mnaouleta hapa kila siku, Kagame alipotofautiana na Ufaransa, mfaransa hakupelekea jeshi kushambulia kigali ila leo taifa lenye umaskini wa ajabu na matumizi mabaya ya rasmali linataka vita..!!! ama kweli tumelaaniwa
 
Hivi ni nani anapenda vita ndani ya Taifa lake mwenyewe analoishi? kama hakuna msiwaze vita... Amani itawale Mioyoni mwenu na msisahau kutenda Haki kwa Wote... Mungu Atawabariki....
 
Tuache kufikiria hayo, vita si lelemama zinaweza kuzusha front line kaskazini za marafiki zake, na kusini kwenye ziwa lenye matatizo pia, kwa matatizo tulionao ya vyama,muungano na dini tutafika wapi.

vita vikitokea dini na vyama vya siasa vinaungana. hata na mimi nitashuka kuongeza nguvu... sisi ni taifa la mungu na mungu anajua hilo....Go TZd
 
Tuacheunafki, wewe unayetaka vita ikija kaa mbele!! wewe unadhani kama punguani ataenda pigana vita ambavyo havina manufaa, eti tulimtoa Amin then tulipata faida gani??? na unajua kwanin Amini alivamia kagera??? Tanzania imekuwa mkombozi wa mataifa mengi kama south africa na zimbabwe ila tumenufaika nin mpaka tukakomboe congo???

Usidhani vita ni lelemama vijana, fikirini kwa kichwa na si huu ujinga mnaouleta hapa kila siku, Kagame alipotofautiana na Ufaransa, mfaransa hakupelekea jeshi kushambulia kigali ila leo taifa lenye umaskini wa ajabu na matumizi mabaya ya rasmali linataka vita..!!! ama kweli tumelaaniwa
Tutaichapa Rwanda na M23 na TZ tunaingia kuwekeza kwenye madini yao ili turudishe gharama ati ....
 
Tuache kufikiria hayo, vita si lelemama zinaweza kuzusha front line kaskazini za marafiki zake, na kusini kwenye ziwa lenye matatizo pia, kwa matatizo tulionao ya vyama,muungano na dini tutafika wapi.

pia tukumbuke why there were multiple visits of the Three (former and current) USA presidents in DSM?. Keep thinking and consider in sociological imaginatively / economically )Just have a thought and consider how geographically we are with DRC na where it is easier way for logistic of those mining products? and who are close friends of DRC at the moment in the great lake regions states?
 
Hivi kwa nini hamfikirii kumaliza mgogoro na Rwanda kwa njia ya mazungumzo ? Mpaka sasa sijaona juhudi zozote za maana za kidiplomasia kumaliza mgogoro huu kwa njia ya mazungumzo...!
ukifanya mazungumzo na rwanda ya kupatana, basi M-23 watazidi kuichafua Congo. Rwanda imekuja juu sana kwa sababu Tanzania ipo ndani ya Congo kuleta amani.
 
Wanyarwanda wengi wamekuwa wakijilinganisha na Waisrael, kwamba wao hata kama ni wachache, wanazo nguvu kijeshi kuweza kuipiga Tanzania. utofauti wake nimeona ni kwamba, israel inashinda vita kwasababu kitu cha kwanza wao ni taifa la kibiblia la Mungu, pili ni kwamba, Israel ina umoja sana, wayahudi wana umoja wote, na hata wale waliopo nje ya israel wana umoja. wakati Rwanda hawana umoja, wamegawanyika kikabila, kiasi kwamba mhutu wa Rwanda ambao ndio majority, hawawezi kushirikiana vizuri na watusi ambao ni wachache. kwa maana hiyo ni kwamba, kagame anao maadui wengi ndani ya nchi yake mwenyewe kuliko wale waliopo nje ya nchi na kama vita ikipigwa dhidi ya Rwanda kagame anayo disadvantage wanyarwanda kusaidia adui ili kumng'oa.

kwamfano: Tanzania ikiingia kuipiga Rwanda, Wahutu wote wataisapoti na kuisaliti Rwanda ili kumng'oa kagame aliyeua wahutu wengi mno na wakongo. kama ilivyokuwa idd amin, majeshi ya Tanzania yalipoingia uganda yalisaidiwa sana na waganda waliokuwa wanamchukia iddi amini. ndio maana kuna umuhimu sana kwa nchi kuwa na umoja ili tusisalitiane.

hivyo, pamoja na kwamba wapo wanyarwanda wengi hapa tz ambao wanatoa siri kwa kagame, bado kagame mwenyewe anao maadui wengi sana ndani ya Rwanda kuliko nje ya Rwanda, wengine ni watusi wenzake hawampendi, watapenda kuisapoti tz ili kagame atoke. huu ni udhaifu mkubwa sana ambao TPDF inaweza kuutumia kama ikiamua kuisambaratisha ngome ya kagame, itafanya hivyo kwa kutumia wanyarwanda wenyewe.
tofauti kati ya Israel na Rwanda ni kuwa Mungu anawapigania Israel na Rwanda inasaidiwa na Shetani.
 
Eti ''Israel ni Taifa la Kibiblia la Mungu''!!!!!!! Hata Tanzania ni Taifa la Mungu. Hivi kuna watu duniani bado wana mawazo ya kijingajinga. Badilika ndugu.

Hutaki?unaacha ndugu!Mungu alishasema' yeyote atakayemlaani naye atalaaniwa na yeyote atakayembariki atabarikiwa'Waamerika wanajua siri ya hii na hii haina ubishi!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Tuache kufikiria hayo, vita si lelemama zinaweza kuzusha front line kaskazini za marafiki zake, na kusini kwenye ziwa lenye matatizo pia, kwa matatizo tulionao ya vyama,muungano na dini tutafika wapi.
Hatupendi vita ila tatizo la kagame maziwa makuu lazima litatuliwe kwa amani au vita. Huyu ni warlord na tangu yeye na kundi lake la watutsi waanzishe harakati zao maafa makubwa yametokea na amani imetoweka kabisa maziwa makuu. Wanyarwanda wahutu ni kama wote wako jela nchini mwao. Wakongo ni balaa; nchi yao imekaliwa na majeshi ya rwanda ambayo yanaua watu kama wanavyotaka.
 
Rwanda kuna Totoz

185415_4512982428486_2049199631_n.jpg
 
Zile consequences za vita ni mbaya zaidi , nahisi nchi nyingi zikianzisha vita baada ya vita vikundi vina crop na silaha zilizotumika si zote zitarudi kambini na watu kama Kagame wanajua ku manipulate ma rebels , si ajabu kikizaliwa kikundi ndani ya nchi ikawa tabu. Kuna watusi na wahutu wazaliwa nchi hii, achilia mbali watafutaji wa kuuza silaha. tatizo hili ni dogo halihitaji vita
 
Eti ''Israel ni Taifa la Kibiblia la Mungu''!!!!!!! Hata Tanzania ni Taifa la Mungu. Hivi kuna watu duniani bado wana mawazo ya kijingajinga. Badilika ndugu.

Hiyo ni kwa mujibu wa Iman yake kidini ingekua busara kama ungeheshim iman yake cz haifanani na yako.. Kila mtu ana uhuru wa mawazo na kuamini kile anachoona ni sawa.
 
Tutaichapa Rwanda na M23 na TZ tunaingia kuwekeza kwenye madini yao ili turudishe gharama ati ....

kama madini yetu tuliyonayo yameshindwa kutusaidia, ni ufinyu wa mawazo kusema vimadini vichache vilivyopo Rwanda vitatusaidia kwa chochote.....
 
Israel wamewekeza sana kwenye vita, Rwanda wanawekeza sana kwenye kujiponya kutoka mauaji ya kimbari ya 1994
 
Back
Top Bottom