Money Stunna JF-Expert Member Joined Aug 9, 2011 Posts 13,053 Reaction score 6,335 Jul 28, 2013 #1 mafisadi waliopo tanzania wanakwamisha sana maendeleao,walaaniwe kabisakwa jina la aliye juu
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Jul 28, 2013 #2 Na kweli.......hawa watu wamepiga hatua kubwa kweli, ukilinganisha na ile siasa iliyowakandamiza miaka yote.
Na kweli.......hawa watu wamepiga hatua kubwa kweli, ukilinganisha na ile siasa iliyowakandamiza miaka yote.
JM K JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 616 Reaction score 547 Jul 28, 2013 #3 Unaonaje tukodi viongozi toka nje tuwalipe? Cc tumechemka ukweli unageuzwa uongo na bado tinalazimishwa kuuamini...... Kwetu hapa sifa nyingi tunapenda hata kama kazi haionekani, maneno mtindo mmoja.,,,,,,, Danganyika bana bac tuu
Unaonaje tukodi viongozi toka nje tuwalipe? Cc tumechemka ukweli unageuzwa uongo na bado tinalazimishwa kuuamini...... Kwetu hapa sifa nyingi tunapenda hata kama kazi haionekani, maneno mtindo mmoja.,,,,,,, Danganyika bana bac tuu