Diet ya muda mfupi inahitajika

misorgenes

JF-Expert Member
Oct 7, 2010
206
50
Wazima jamani?

Kutokana na kazi yangu natumia muda mwingi nkiwa kwenye computer, nimeongezeka uzito kwa kiasi kikubwa. naombeni diet itakayonisaidia kupunguza uzito kwa muda mfupi.

Natanguliza shukrani!
 
wazima jamani? kutokana na kazi yangu natumia muda mwingi nkiwa kwenye computer, nimeongezeka uzito kwa kiasi kikubwa. naombeni diet itakayonisaidia kupunguza uzito kwa muda mfupi. natanguliza shukrani!

Nimejaribu ku'upload diet plan moja ya siku 13 nimeshindwa!
please kama hutajali niPM email address yako nitakutumia baadae.
 
Nimejaribu ku'upload diet plan moja ya siku 13 nimeshindwa!
please kama hutajali niPM email address yako nitakutumia baadae.

mie unaweza kunisaidia ya kunenepa maana npo makazi mapya mkoa mwningne nakonda hadi njishangaa . Msaada if possible
 
Back
Top Bottom