Diesel kwa bei nafuu

Diesel kwa bei nafuu

Consolata2000

Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
40
Reaction score
4
Habari zenu. Mimi na marafiki zetu tunatengeneza diesel kutokana na mimea na mbegu za jatropha na mimea mingine. Mpaka sasa TBS washachukua samples na kwenda kuzipima.Tuna uwezo wa kutengeneza lita 60 kwa siku. Diesel hii ina faida nyingi ikiwamo ina burn cleaner, inafanya tank la gari lako kuwa safi na kutopata kutu n.k. Bei yake ni sh. 1600 ukiletewa hadi mlangoni. Kwa anayehitaji, tafadhali toa oda yako kwa kuni-PM.
 
Majibu ya samples mlizopeleka TBS yanasemaje? Mmeanza kuuza kabla hamjajua yanakidhi viwango au la!
 
Majibu ya samples mlizopeleka TBS yanasemaje? Mmeanza kuuza kabla hamjajua yanakidhi viwango au la!

Tunaiamini product yetu kwa kuwa, ingawa majibu ya samples hayajaja bado (yanatoka jumanne 29.10) wafanyakazi wa tbs walipokuja kuchukua sample, waliridhia sisi kuwawekea lita 6 katika gari yao land cruiser hard top na wakarudi ofisini kwao. So product yetu ni bora kabisa.

Na sisi tunaamini katika kuwa honest na wateja wetu, so tunawaeleza kwa uwazi mambo yalivyo.
 
ina rangi gani?kama diesel ya kawaida au ina utofauti kidogo?
 
TBS wakileta majibu mazuri nitaanza kuwamteja wako
 
TBS huwa siiamini maana wanachakulika kirahisi look for international accreditation
Kama ikitick itakuwa jambo la mbolea tupumue na utajiri wa Uarabuni
Maana jamaa wese lawapa kiburi
 
niuzie kwa 1500 nachukua yote kila siku kwa dar no yangu 0714300307
 
Majibu ya TBS yameshatoka. Imethibitishwa kwamba inafaa kwa matumizi ya magari na mashine.
 
Muhimu: Kwa anayetaka kununua mafuta haya ajue kwamba kutokana na kwamba yanatengenezwa kutokana na mbegu za mimea, harufu ya mafuta haya sio sawa na diesel yenyewe. Hii inanukia kama mauta ya kawaida.
 
Back
Top Bottom