Diesel (4000cc) car VS Petrol (4000cc) car | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diesel (4000cc) car VS Petrol (4000cc) car

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Tripo9, Apr 23, 2012.

 1. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,170
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Habari wanandugu

  Napenda nijue upande wa consumption ya mafuta kwa gari mbili, zote injini sawa ukubwa wa injini sawa mfano hai 4000cc, moja inatumia petrol, na nyigine inatumia diesel. Ipi itatembea kilometer za kutosha kwa liter moja kati ya hizi gari mbili?

  Asanteni sana kwa majibu yenu yatakokua mazuri!
   
 2. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mi sio mtaalam sana ila nafikiri hakuna engine ya cc 4000 inatumia petrol, nyingi huwa diesel
   
Loading...