naona watazamaji wa etv mko wengi.
leo nimeona wanasema electric eel anaeza kutoa umeme hadi 650 volts (dc I think). nimeona hii kwa documentary jamaa walimkamata wakapima, duh inatisha. kwa wale wapenzi wa yuotube vids mnaeza mshaona ile video ya electric eel akimdedisha 'gator.
Mkuu yakweli haya?Ni kweli we jaribu utapata jibu.Huyo mdudu ana maajabu yake.Mfano anaweza kukaa wiki mbili bila kula,anaweza kukaa bila kuvuta hewa kwa dk 30 au zaid,fatilia kwenye vitabu vya kisayans utaona
Si kwamba huamini tu, bali mtu mfupi kuliko wote duniani ni mzee wa miaka 72 na ana urefu wa sentimita 21.5 tu. kulingana kitabu cha maajabu ya dunia cha Guiness, mtu huyo anaishi nchini Nepal, hivyo huo urefu wa Panadol mimi siukubali.
Anaitwa Chandra Bahadur Dangi.