Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,503
- Thread starter
- #21
Kaka habari za mossad na vita vyao nazijua vizuri habari za kina Eli Cohen na mission yake ya syria naijua vizuri na wala sikataai kwamba Israel inahusika kuchonganisha, Mkuu wewe ubongo wako ndio hautaki kuelewa swali langu inakuwaje majihadi wawil isis na hamas in jihad war wakachonganishwa na ------ na wanakubali wanajua wanapigania nini kwa ndio hivyo jihad maanake nini? achana na mossad na israel angalia upande wa pili wa shilingi funguka bro usijione unajua kila kitu hutapahii
ishu hii huezi iangalia kwa jicho la dini.
mbona ujerumani na nchi za ulaya walitumika kupigana vita vya pili?.
au hujui kuwa wayahudi walikua wanafinance pande zote mbili wakati huo?.