Did I Misquote You; Honourable President!?!

Mdau

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,789
470
"Wakati nikihutubia, ninakumbuka ghafla nilihisi kuishiwa nguvu, na hiyo inatokana na kukaidi ushahuri wa madaktari wangu ambao waliniambia nisisafiri kuja Mwanza.

"Jamani poleni sana kwa hali iliyotokea… nilijisikia vibaya, mwili kuishiwa nguvu, ndiyo maana mliona nilibebwa. Wataalamu wangu walinikataza ili niupumzishe mwili nikakaidi,"

My point is; hivi watu wasiokutakia MEMA mheshimiwa rais, hawatatumia kweli kauli zako kama hizi kuongeza kwamba UNAKAIDI pia ushauri wa wataalam wa KILIMO,SIASA, UCHUMI, ELIMU, n.k.?
 
mod,naomba uiondoe prefix ya breaking news tafadhali,nimemis-click
 
"Jamani poleni sana kwa hali iliyotokea… nilijisikia vibaya, mwili kuishiwa nguvu, ndiyo maana mliona nilibebwa. Wataalamu wangu walinikataza ili niupumzishe mwili nikakaidi,"

hivi kumbe alibebwa kabisa kama mzigo kutoka jukwaani? mbona tbc na vyombo vingine vilivyokuwa hapo havikuonyesha hiyo scene hiyo laivu.

mcinkus
 
Huyu ni Mkaidi sana, na hatafaidi mpaka siku ya Iddi! Kama mtu anaweza kukaidi mambo yanayohusu afya yake mwenyewe, huoni kwamba kwa mambo mengine ndo hatakamatika! Waganga wake wasitufiche, wanajua kuwa mtu huyu ni mgonjwa, lakini ndo hivyo, madaraka ni matamu zaidi!
 
Wale waleeeee wasioona jema lolote kazi kweli kweli! president was just honest
 
Duu,kweli huyu mwana mkaidi aliyepitiliza yani anakaidi mpaka afya yake?sasa mi ninachomshauri ni kwamba asubiri tuu siku ya Eid huenda akafaidi matunda ya ukaidi wake!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom