Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,529
Rev Kishoka,
Nadhani Chadema hawakutoa training kwa mawakala wake concern what need to be done. Nilikuwa nategemea Chadema wangeweka situation room in Dar es salaam ambayo ingekuwa na advance equipment. Hii room ingekuwa inapotekea matokeo kutoka kila kituo moja kwa moja. Hili lingesababisha uraisi wa kukusanya matokeo na ugumu wa Kuchakachua.
Is it possible out of excitement of Wabunge and Madiwani that Chadema loosened its focus to make sure that all presidential votes were counted and secured?
Instead of Mguu Sawa, they all became Mguu Pande Mwili legeza? Then CCM wakachakachua kiulaini?
Rev Kishoka:I recall from the contents of your pre-election period, I had predicted as my contribution that your ambition was seeking post-election recognition through such statements as "I had said, I had warned, I had advised etc".
Despite of your clever structuring of your thread it is vividly evident that you are leading us to that road. Therefore I will appreciate if you will start by describing to us of how you personally took part in bringing victory to CHADEMA in any area of your residence, industrial area, area of frequency etc as a CHADEMA voter, campigner, agent, volunteer etc.
You will recall that the positive contribution of all of us was called for in order to bring victory change seekers in Tanzania rather than relinquishing the task to CHADEMA leaders only.
This will enable us contribute positively more freely rather than being netted by post-election recognition seekrs.
Jatropha,
If my call before election was ignored (which infact started 2006), don't you think there is a validity to question why Chadema failed while there was a free advice to them on strategizing? Is it a shameful admission of lack of proper strategy or regrets for not hearing those other voices?
Is it possible out of excitement of Wabunge and Madiwani that Chadema loosened its focus to make sure that all presidential votes were counted and secured?
Instead of Mguu Sawa, they all became Mguu Pande Mwili legeza? Then CCM wakachakachua kiulaini?
Muda mwingine mie huwwa nataka kulia tu. Yaani wengine hatukulala siku tatu mfululizo tukijitahidi kulinda kura na kufanya kila liwezekanalo kura zisiibiwe tukishirikiana na askari leo (ambao wengi walitaka mageuzi) leo linakuja lijitu sijui kutoka wapi uko na kuweka bandiko kienyeji namna hii bila ya kutafakari inauma sana!
Jatropha,
If my call before election was ignored (which infact started 2006), don't you think there is a validity to question why Chadema failed while there was a free advice to them on strategizing? Is it a shameful admission of lack of proper strategy or regrets for not hearing those other voices?
Toa mwongozo bana! uchaguzi ushakwisha...kama ni blunder tayari ishafanyika. Watu wa dizaini yako huwa siwapendi sana ....sababu ni watu ambao mnajua jambo na badala ya ku-push ili liwe implemented mnakaa nje mkisubiri washindwe then mnajitokeza kutafuta popularity!
IF AT ALL YOU HAD ANY POSITIVE SUGGESTIONS, CONTRIBUTION VICTRY BRINGING STRATEGIES AS YOU CLAIM SINCE 2006, WHY NOT ASPIRE FOR LEADERSHIP POSITIONS WITHIN CHADEMA AS PER ITS CONSTITUTION? BE ADVISED THAT LIKE ANY CREDIBLE ORGANISATION CHADEMA HAS ITS OWN RULES AND REGULATIONS, AND WAY OF DOING THINGS INCLUDING RECEIVING AND DISSEMINATING PARTY INFORMATION.
CHADEMA JUST LIKE ANY PUBLIC ORGANISATION HAS PASSED THE FOLLOWING STAGES:- (i) ONE OR TWO INITIATE THE IDEA OF STARTING THE ORGANISATION, (ii) VERY FEW TAKE PART IN FORMING THE ORGANISATION, (iii) FEW PARTICIPATE IN MAKING THE ORGANISATION A REALITY. (iv) AFTER IT HAS BECOME A REALITY MANY NOW FLOCK IN TO SEEK ASSOCIATION, ALLAINCE, PARTNERSHIP ETC WITH A PERFORMING ENTITY LIKE CHADEMA. TO ME I SEE THAT SINCE 2006, YOU HAD THE OPPORTUNITY OF BEING IN THE FIRST THREE STAGES BUT YOU DID NOT SEIZE THE OPPORTUNITY WELL IN ADVANCE. MAYBE PERHAPS BY BEING A TROUBLE MAKER AS YOU ARE NOW TRYING TO POTRAY.
Is it possible out of excitement of Wabunge and Madiwani that Chadema loosened its focus to make sure that all presidential votes were counted and secured?
Instead of Mguu Sawa, they all became Mguu Pande Mwili legeza? Then CCM wakachakachua kiulaini?
Jatropha,
Have you ever wondered why skillful Politicians like Paulo Sozigwa, Peter Kisumo or even Kingunge were behind the scenes like David Axelrod, Karl Rove, Donna Brazile or James Carvile?
If you can answer that, then you have your answer on why even Mzee Mwanakijiji is not a party leader but a political analyst!
not really. This government and all its organs were out to make sure that the incumbent stays in power and they had all the machinery in their disposal to achieve that. Hata kama chadema wangekuwa mguu sawa bado kwa huu utaratibu wa matokeo kutumwa na wakurugenzi wa miji na wilaya kwenda kwa jaji lewis makame ulitoa mwanya wa kuchakachua ambao chadema hawangeweza kuudhibiti.
Mimi huwa najiuliza kwa nini matokeo yakishatangazwa kwenye kituo cha kupiga kura yasiwe ndiyo final na kila mdau awe huru kuyachukua na kutangaza? Hii ni tofauti na huu utaratibu wa kuzuia matangazo mpaka wasimamizi wa uchaguzi na watu wa tume ya uchaguzi waamue kutangaza matokeo wananyoyataka wao? Kama kuna mgombea ana wasiwasi wa matangazo aruhusiwe kwenda mahakamani ambao ndiyo wataamua kama yahesabiwe upya au la.
Mimi nilikuwa mmoja wa mawakala wa CHADEMA mafunzo tulipata sana tu ila ninasho hisi ilikuwa kuwa kila jimbo na mipagilio yao yaani kivyao so ilitengemea na jimbo wamejipanga vipi mfano hapa Arusha CHadema walikuwa majipanga ukitoa mapungufu madomado mpaka tuka fanikiwa kwa sehemu kubwa yaani madiwa wakutosha na mubungeRev Kishoka,
Nadhani Chadema hawakutoa training kwa mawakala wake concern what need to be done. Nilikuwa nategemea Chadema wangeweka situation room in Dar es salaam ambayo ingekuwa na advance equipment. Hii room ingekuwa inapotekea matokeo kutoka kila kituo moja kwa moja. Hili lingesababisha uraisi wa kukusanya matokeo na ugumu wa Kuchakachua.
Shalom my dear Comrade,
Yes Lijitu linakuja kuuliza maswali magumu ambayo hatutaki kusikia. Ni bandiko la kienyeji maana ulilinda boksi moja ukaachia maboksi kumi yakiwa hayana ulinzi....
ili kuonyesha watu wanauchungu na nchi yao Arusha watu walijitolea yaani bure mpaka wakazidiRev,
Wakati mwingine huwa unauzi sana. Haya maneno ndiyo unaniambia live siku ya alhamisi Asubuhi baada ya uchaguzi na hatujalala siku kadhaa tunalinda kura hata uwe kama goliati naondoka na wewe. Tatizo sijui uko wapi ndugu yangu maana inabidi tukusamehe tu kama alivyosema Yesu unaweza kuwa hujui ulisemalo. Kazi tumeifanya ndugu yangu tunastahili hata pongez kidogo. Chukua mfano kwenye jimbo letu kupata vijana 850 wa kuwa mawakala wa bila kuwalipa kitu chochote kile na kazi wakafanya ya kutosha unadhani hii ni kazi ndogo.
Rev endelea tu kutukatisha tamaa ila nakuambia kuwa huu moto hamtaweza kuuzima. Eti tumelinda box moja na kuacha mengine kumi we aya we!
Mi nishawahi kuwa wakala wa mgombea ubunge 2005 (alishindwa) na pia mwaka huu nilikuwa katika timu yake huyo mgombea kuratibu mawakala (ameshinda this time!)
Katika hali ya kawaida kabisa ni ngumu sana kupata mawakala waaminifu! Wengi wa wale tunaowaona kuwa ni makini (wapo wachache) wanakuwa busy sana na mambo yao na siku ya uchaguzi huwezi kuwapata washinde vituoni asubuhi mpaka jioni.
Pili ukipata watu makini mara nyingi watakubali kukaa kituoni mpaka jioni lakini ikitokea tatizo hawajitolei kukesha kulinda kura zisichakachuliwe. Hili ni tatizo. Kwa hiyo katika hali kama hii inabidi ujaribu kuwaamini wale utakakaowapata. Na katika hili kuna wale ambao CCM wakiwajua wanawahonga hela na siku ya uchaguzi hawatokei kituoni (wakati walishaapishwa na kupewa barua za utambulisho na kupangwa kituo!) na wengine kwa bahati nzuri wanakuwa waaminifu na kufanya kazi yao kwa umakini mpaka mwisho.
Lakini jambo lingine la kuongezea hapa ni kuwa mawakala wengi wa upinzani wanakuwa ni watu wa kujitolea (na tukiri volunteers sio wengi sana kulingana na mahitaji) kwa sababu hata posho za uwakala wanazopewa (wakati mwingine hawana posho) ni ndogo sana ukilinganisha na zile za wenzao CCM! Na hili linaweza kutokana na kuwa vyama vingi vya upinzani vina matatizo ya fedha (ruzuku ndogo au hakuna kabisa!) na hivyo uwezo wao wa kulipa posho mawakala ni mdogo sana au hata utaratibu wa kuwaratibu mawakala unakuwa sio mzuri kwa kukosa rasilimali watu, fedha na vitu pia kama magari n.k.
Hivyo tu itoshe kusema kuwa bila kuwa na rasilimali fedha ya kutosha pamoja na timu nzuri ya watu basi kazi ya kusimamia zoezi la uchaguzi, kuratibu mawakala na kukusanya matokeo vituoni pamoja na kufanya majumuhisho ya ndani inakuwa ngumu sana wakuu wangu! Kwa hili inabidi kujipanga sana..