Ni jambo la kusikitisha kuona kuwa umekosa subira, hivi hakuna lugha nzuri ambayo ungeweza kuitumia kufikisha ujumbe wako mpaka kunikashifu.....
Hii sio Novel kama ulivyotuhumu, ki kisa cha kweli ambacho kimemtokea ndugu yangu na hakupenda niweke utambulisho wake hapa, bali alitaka watu wajifunze kupitia uzoefu wake.
Kama wewe haikusaidii basi hukulazimishwa kusoma, kuna habari nyingi sana humu ambazo ungeweza kusoma pia.
nakutakia kila la heri katika maisha yako..............
ha ha ha ila avatar ya mama mia kiboko!! Hommie story ndefu bana na hangover hii sina muda wa kusoma hapo kwenye red imekuaje?Msamehe bure. Avatar yake si unaiona?
Ila Kilichonisikitisha ni kuamua kuzaa na chupa! Basi, hapo tu!
ha ha ha ila avatar ya mama mia kiboko!! Hommie story ndefu bana na hangover hii sina muda wa kusoma hapo kwenye red imekuaje?
dah ndo life la siku izi acha tu hommie!! hapo penye blue panahusika zaidi ngoja na mm nika do the needful!Hommie kuna mahala nimesoma kuwa alipandikizwa ujauzito. Kwangu mimi kupandikizwa naona ni kama kukamuliwa na chupa.
Mitarimbo imejaa kibao watu wanataka kuitumia wengine wanakimbilia kumiminiwa mbegu. Sijui mtoto atamwita nani baba yailahi toba?
Ngoja nikazimue.
Umegundua hiloe? Nilivoona stori ya watoto wanacheza mpira hangover ilianza kukatika. Hii novel tamu sana.Hizi haditthi za shigongo naona zinahamia humu sasa!!
Hehehe! Hakuna siku mbaya kwangu kama Jumatatu asubuhi! Ile kitu ulinambiaga unaweza kunitumia? Naona valeur inaanza kuharibu mishipa ya kumbukukumbu.dah ndo life la siku izi acha tu hommie!! hapo penye blue panahusika zaidi ngoja na mm nika do the needful!
Msamehe bure. Avatar yake si unaiona?
Ila Kilichonisikitisha ni kuamua kuzaa na chupa! Basi, hapo tu!
Mi sijamwelewa itabidi tukae bar jioni unihadithie hii story.
Kwa hiyo hataki tena wanaume mpaka azae kwa chupa?
Hii kitu nayo ina hangover kama mbuyu?Naona valeur inaanza kuharibu mishipa ya kumbukukumbu.
ha ha ha hommie acha ile kitu balaa si uliona mwenyewe yaani nilijaza visoda counter kwa kuwagongea thanx masela!! mh bora ya valuu bana!!Hehehe! Hakuna siku mbaya kwangu kama Jumatatu asubuhi! Ile kitu ulinambiaga unaweza kunitumia? Naona valeur inaanza kuharibu mishipa ya kumbukukumbu.
Fidel, Kimey na Maskini_Jeuri hebu fanyeni the needful hapa. Mamushka leo kasahau mawani yake.biggy na wengine nipeni ufupisho wa hii hadithi tafadhali....
Mazee nilikuwa nakamata masenksi mpaka kibaba kikajaa. Hehehe! Geoff alinambia kuna valeur made in Kimara! Hiyo balaa, ukinywa chupa mbili unalewa wiki moja.ha ha ha hommie acha ile kitu balaa si uliona mwenyewe yaani nilijaza visoda counter kwa kuwagongea thanx masela!! mh bora ya valuu bana!!
biggy na wengine nipeni ufupisho wa hii hadithi tafadhali....
ha ha ha vp Bht nawe unahangover ka siyee? dah mi itakua ngumu maana thread yenye mistari zaidi ya minne mi siiosomi!! hiyo ya kimara noma maana haitendei haki matumizi ya pesa! lol.Fidel, Kimey na Maskini_Jeuri hebu fanyeni the needful hapa. Mamushka leo kasahau mawani yake.
Mazee nilikuwa nakamata masenksi mpaka kibaba kikajaa. Hehehe! Geoff alinambia kuna valeur made in Kimara! Hiyo balaa, ukinywa chupa mbili unalewa wiki moja.