Diaspora wanahitajika hapa

samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
11,495
24,212
Ubishi na ujeuri kiukweli hauhitajiki hapa, CV na uwezo wa watu wetu kwenye nyanja mbalimbali muhimu za kkimaamuzi na kiutendaji kiukweli ni vichekesho.

Ngazi ya uwaziri,ukatibu,ubunge.

Kamati mbali mbali za bunge, ukurugenzi, ngazi fulani za kitaalamu huhitaji Watu makini kwenye elimu zilizonyooka na uzoefu uliotukuka kutoka sehemu mbali mbali, Kwa taifa changa kama tanzania hatuhitaji kupepesa macho kwenye suala hili.

Ukweli lazima usemwe, wenzetu walio nje wanaweza sana kutusaidia katika hili, kusource watu na kuiba baadhi ya vizuri wanavyoviona huko, hata ndugu zangu wabeba box kwenye hili pia ni muhimu.

JPM, DIASPORA INAWEZA KUTUSAIDIA MAHALA FULANI PAKUBWA SANA, taifa halina watu makini kwa sasa, blah blah kila mahali.

DIASPORA SEMENI,TAJENI WENZENU MLIONAO WANAOFANYA VIZURI HUKO WATUSAIDIE, KIUKWELI TUMEKWAMA, tunabisha tu ila ukweli ndio huo, TANZANIA NI TAIFA LENU.

Tuchangie maslahi yataifa yakiwa mbele..
 
Back
Top Bottom