Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Huu ndiyo wakati wa kuonyesha uzalendo wenu Madiaspora wote hasa wale wanaoishi nchi zilizoendelea, Raisi Magufuli ameomba mchango ktk kwa wananchi ili kujenga Shule kwa kifupi kuchangia Elimu, nina uhakika kila Diaspora akituma dola 30 za Kimarekani huu utakuwa ni mchango wenu mkubwa sana!
Ningewashauri kwa kutumia vyama vyenu huko mliko mjipange ili muweze kulifanikisha, tujifundishe ktk kwa Waethiopia Madiaspora walichangia kujenga Bwawa kubwa la maji Afrika, kazi ni kwenu!
Ningewashauri kwa kutumia vyama vyenu huko mliko mjipange ili muweze kulifanikisha, tujifundishe ktk kwa Waethiopia Madiaspora walichangia kujenga Bwawa kubwa la maji Afrika, kazi ni kwenu!