Diaspora Hawatoi connection?

Basi msitusumbue huku na connection ***** zenu, endeleeni kula bata tu, Nyie mnawaza kula bata sie tunawaza familia na kizazi chetu miaka 50 ijayo. Tabia zenu hizo za uselfishness kaeni nazo hukohuko.
Carlitos Ways Wanaokusumbua ni washikaji ambao hawana namna na connection ila sio lazima uwasaidie mkuu.Na neno""Bata""inategemea na tafsiri yako mkuu,kwetu sisi neno bata inamaanisha kufurahia maisha kwa kujenga nyumba nzuri,kusaidia wazee wetu,kuimarisha biashara zetu,kula vizuri,kuvaa vizuri and ect......Future ipo tu hatuwezi kujinyima sababu ya miaka 50 mbele🤣🤣🤣 Tunaishi present kwa kudra za mwenyezi Mungu,so lazima tufurahie uhai mkuu.Au kwako neno""Bata""linamaanisha nn???
 
Kuna jamaa yetu anaitwa "Jamaloo" ni msomali ndo alikuwa kama tour-guide wetu alitupitisha sehemu nyingi sana! Kuna Restaurant ni ya wajamaica sitasahau nilikula vitu kama slice-cake ile sijui... sijui ni kashata kwakweli hata sielewi vilikuwa vitamu ajabu ila kwenye recipe zake na bangi ndani. Nililala kama pono siku hiyo 😂
😂🤣🤣🤣🤣Ulikula ganja ndani ya vitafunwa🤣🤣🤣 Utamaduni wa watu wa Suriname kutoka Caribbean🤣🤣🤣Wamejaa sana Holland
 
Carlitos Ways Wanaokusumbua ni washikaji ambao hawana namna na connection ila sio lazima uwasaidie mkuu.Na neno""Bata""inategemea na tafsiri yako mkuu,kwetu sisi neno bata inamaanisha kufurahia maisha kwa kujenga nyumba nzuri,kusaidia wazee wetu,kuimarisha biashara zetu,kula vizuri,kuvaa vizuri and ect......Future ipo tu hatuwezi kujinyima sababu ya miaka 50 mbele🤣🤣🤣 Tunaishi present kwa kudra za mwenyezi Mungu,so lazima tufurahie uhai mkuu.Au kwako neno""Bata""linamaanisha nn???
Ok ok poa nimekuelewa, ila kama ni nyumba tu huko bongo ninazo 3 wanaishi ndugu na ingine nakusanya kodi. Kwahio kama bata ndio hilo basi hata mie nalila kiaina. Kuhusu present and future pia ni sawa maana watu weusi wengi na haswa wabongo uwa wanawaza zaidi present na sio future na hio ni kutokana na serikali ya ma ccm kuwalewesha ujinga wananchi wake wakati vizazi vyao vinaendelea kwa kuwaza future zaidi. Mie neno bata ni kufurahia maisha pia kwa kwenda ma vacation kama Rio De Janeiro, cancun, Havana etc. Tunatofautiana .I agree to disagree; kila mtu ashinde mechi zake, tusitafutiane ubaya na connection ndio muanze kutuponda wabeba mabox.
 
Ok ok poa nimekuelewa, ila kama ni nyumba tu huko bongo ninazo 3 wanaishi ndugu na ingine nakusanya kodi. Kwahio kama bata ndio hilo basi hata mie nalila kiaina. Kuhusu present and future pia ni sawa maana watu weusi wengi na haswa wabongo uwa wanawaza zaidi present na sio future na hio ni kutokana na serikali ya ma ccm kuwalewesha ujinga wananchi wake wakati vizazi vyao vinaendelea kwa kuwaza future zaidi. Mie neno bata ni kufurahia maisha pia kwa itkwenda ma vacation kama Rio De Janeiro, cancun, Havana etc. Tunatofautiana .I agree to disagree; kila mtu ashinde mechi zake, tusitafutiane ubaya na connection ndio muanze kutuponda wabeba mabox.
Nikifika tu state for working trip,nawatafuta wewe😂🤣🤣🤣@ Carlitos Ways na @ Bufa 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣nioshe tongotongo maana kuku mgeni hakosi kamba mguuni🤣🤣🤣🤣 Holiday za kwenda Rio di jeneiro siziwezi mkuu,nitakula mtaji🤣🤣🤣🤣🤣 .But now dayz dar imepooza sana mkuu sio kama ile miaka ya 90,s na 2000,s mpaka 2005.Kinondoni kumepooza🤣🤣🤣🤣 Mji umehamia kwa WAKULUNGWA tabata.
 
Karibu karibu sana mkuu, Dar nilikuwepo hapo hivi karibuni pamepoa sana na watu wengi wapo Dhufli - hally wamechoka mbaya sana. Ukimnunulia mtu shots za hennesy anakushukuru utasema umemjengea banda la kujihifadhi teehteehteh. Mjini pako kimyaaa hamna pilika pilika za enzi zetu watu wanacheza na documents jioni wanapooza koo. Anyway, bongo pamebadilika sana ingawa bado watu hawajawa na discipline ya pesa. Mama Kamala Harris atawaokoa kwa visa hizo alizosema na kuomba connection JF kutapungua, kila mtu ashinde mechi zake 🤣 🤣 🤣 🤣 . InshAllah.
 
Bro europe life ni tamu kaz zipo sijaadithiwa na mtu uwe mchapa kaz tu mi nmerud bongo lakini najuta why nilirud sema tu ni my parents wish lakini Europe asikuambie mtu kugumu sema tu gumu kama we mvivu
Ulikuwa nchi gn mkuu umerudi Lin?
 
Sidhani kama mtu umepata visa ya marekani na ukaja humu jf kutafuta host marekani ukakosa. Anachosema mtaalamu ni ukweli 100%. Wewe kama msafiri unahitaji uijue safari na requirement zake maana visa interview ni wewe na visa officer. Ila ukipata visa njoo humu jf mbona utapata wengi mno by the way ni wanyamwezi mnoo hawana roho mkunjo kama huku bongo na wanapenda new comers kupunguza home sick.
 
Karibu karibu sana mkuu, Dar nilikuwepo hapo hivi karibuni pamepoa sana na watu wengi wapo Dhufli - hally wamechoka mbaya sana. Ukimnunulia mtu shots za hennesy anakushukuru utasema umemjengea banda la kujihifadhi teehteehteh. Mjini pako kimyaaa hamna pilika pilika za enzi zetu watu wanacheza na documents jioni wanapooza koo. Anyway, bongo pamebadilika sana ingawa bado watu hawajawa na discipline ya pesa. Mama Kamala Harris atawaokoa kwa visa hizo alizosema na kuomba connection JF kutapungua, kila mtu ashinde mechi zake 🤣 🤣 🤣 🤣 . InshAllah.
Nyie wazee wa clearing and forward nazijua sana vurugu zenu kinondoni kipindi kile🤣🤣🤣🤣,mlipata opportunity kipindi kile kabla teknolojia haijaharibu mambo.Bongo hatuna nidhamu ya pesa sababu tunachopata hata tukimake hatufiki popote bora tutumbue tu🤣🤣🤣
 
Karibu karibu sana mkuu, Dar nilikuwepo hapo hivi karibuni pamepoa sana na watu wengi wapo Dhufli - hally wamechoka mbaya sana. Ukimnunulia mtu shots za hennesy anakushukuru utasema umemjengea banda la kujihifadhi teehteehteh. Mjini pako kimyaaa hamna pilika pilika za enzi zetu watu wanacheza na documents jioni wanapooza koo. Anyway, bongo pamebadilika sana ingawa bado watu hawajawa na discipline ya pesa. Mama Kamala Harris atawaokoa kwa visa hizo alizosema na kuomba connection JF kutapungua, kila mtu ashinde mechi zake 🤣 🤣 🤣 🤣 . InshAllah.
Mzee unatoa shotsi za hennesy🤣🤣🤣🤣Nakupa mkono wa kongole🤣🤣🤣🤣Nyie watu wa clearing and forward hamuachagi vurugu zenu😂😂😂
 
Nikifika tu state for working trip,nawatafuta wewe😂🤣🤣🤣@ Carlitos Ways na @ Bufa 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣nioshe tongotongo maana kuku mgeni hakosi kamba mguuni🤣🤣🤣🤣 Holiday za kwenda Rio di jeneiro siziwezi mkuu,nitakula mtaji🤣🤣🤣🤣🤣 .But now dayz dar imepooza sana mkuu sio kama ile miaka ya 90,s na 2000,s mpaka 2005.Kinondoni kumepooza🤣🤣🤣🤣 Mji umehamia kwa WAKULUNGWA tabata.

🤣🤣🤣 Karibu sana mkuu, njoo ujionee kama wabongo tunaroho ya korosho au roho safi. Hatuna shida na mtu ila tunataka mtu anayejiongeza kabla ya kulialia kusaidiwa maana hata sisi tulisaidiwa baada ya kujisaidia. We have to meet halfway.

Ukitua Chicago O'Hare airport nakupokea mwenyewe 😁
 
Sidhani kama mtu umepata visa ya marekani na ukaja humu jf kutafuta host marekani ukakosa. Anachosema mtaalamu ni ukweli 100%. Wewe kama msafiri unahitaji uijue safari na requirement zake maana visa interview ni wewe na visa officer. Ila ukipata visa njoo humu jf mbona utapata wengi mno by the way ni wanyamwezi mnoo hawana roho mkunjo kama huku bongo na wanapenda new comers kupunguza home sick.

Kabisa mkuu. Watu wanasikiliza sana story za vijiweni na wanataka kubebwa bila wao kufanya chochote kile. Kila mtu anayeenda mbele ukisikia story yake utagundua alipambana sana ila hawa wamatumbi Leo wanataka uwafanyie Kila kitu, nobody has time for that.
 
Mimi nataka connection ya ku export mafuta ya asili mkuu
Nina
Sesame
Avocado
Castor
Beeswax
Zote ni cosmetics grade

Mkuu, hongera sana. Nimefarijika kusoma comment yako, unfortunately sina uzoefu huo ila Kuna nyuzi kadhaa humu jukwani zinazoongelea Hilo swala kwa kina, anza na huu hapa:

🤣🤣🤣 Karibu sana mkuu, njoo ujionee kama wabongo tunaroho ya korosho au roho safi. Hatuna shida na mtu ila tunataka mtu anayejiongeza kabla ya kulialia kusaidiwa maana hata sisi tulisaidiwa baada ya kujisaidia. We have to meet halfway.

Ukitua Chicago O'Hare airport nakupokea mwenyewe 😁
Hapo umeongea pointi mkuu.Nadhani ukitaka kusaidiwa na wewe ujisaidie kwanza.Nikifika tu nitakuchek mkuu nioshe macho kabla sijarudi bongo,na brother wa clearing and forward a.k.a mabishoo wa city center @ Carlito Ways mzee wa kugawa shoti za hennesy kwa wakulungwa huku bongo 🤣🤣🤣🤣.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 duh nimekua bishoo tena mkuu poa poa, ila mie nipo GA state kiongozi. Karibu sana nikupige shots za ukweli huku. Wabeba mabox hatuna kikorosho ni nyie tu huko waturutumbi hamtuelewi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom