Naomba niambieni yuko kwenye sentensi ipi kati ya hizi, huyo punguani anaejisifia kukaa na wazungu:
Mswahili akipata matako hulia mbwata.
Mswahili, akipata matako hulia mbwata.
Mswahili akipata, matako hulia mbwata.
Mswahili akipata matako, hulia mbwata.
Mswahili akipata matako hulia, mbwata.
Dah naona aibu mimi ... Kuna watu hawa haya ... Usikute yeye ndio ka record hii video
accent mbovuu utadhani yuko pre form one na hapo ana degree mbili ya UD na wollongong uni dubai.
'Call the police...I'm not illegal.....call the police...I'm not illegal here....call them now..stupid....you think I'm illegal....I have green card...call them':becky::becky::becky:.
accent mbovuu utadhani yuko pre form one na hapo ana degree mbili ya UD na wollongong uni dubai.
Teh teh teh teh hii dunia kweli uwanja wa fujo kila mtu na fujo zake.Naomba niambieni yuko kwenye sentensi ipi kati ya hizi, huyo punguani anaejisifia kukaa na wazungu:
Mswahili akipata matako hulia mbwata.
Mswahili, akipata matako hulia mbwata.
Mswahili akipata, matako hulia mbwata.
Mswahili akipata matako, hulia mbwata.
Mswahili akipata matako hulia, mbwata.
Kasoma na kutunukiwa shahada ya kwanza na UD(SM) kweli?
Mbona inasemekana kuwa alisoma sijui African Virtual University au sijui ni Audio Visual University ile.....
Mi sidhani kama alikuwa anazo sifa za kujiunga na UDSM huyo. Sidhani kabisa.
Nielewesheni huyo african woman ni nani? Mbona hiyo clip imepostiwa na Mange?
kuna mwalimu mmoja wa ifm alisema mange anajidai kuwa anasoma ud tunammezea tu wakati anasomea majengo ya computer kikweli sikuwa deep katika yale mazungumzo i wish ingekuwa ni kipindi hiki umbea umeshika hatamu ningefukunyua hadi basi ila nitamsaka yule dr aniambie manake anawajua maprof kibao wa ud wengi
Naomba niambieni yuko kwenye sentensi ipi kati ya hizi, huyo punguani anaejisifia kukaa na wazungu:
Mswahili akipata matako hulia mbwata.
Mswahili, akipata matako hulia mbwata.
Mswahili akipata, matako hulia mbwata.
Mswahili akipata matako, hulia mbwata.
Mswahili akipata matako hulia, mbwata.
From psychological point of view, huyu dada ni "MGONJWA"