Diaspora hawapendani

Diaspora hawapendani

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,300
Diaspora wa Tanzania, hasa waishio Marekani, hawapendani na wanachukiana sana. Tatizo nini? Ugumu wa maisha? ama?

=====

Hii posti naitoa kesho, maana Jumatatu naweka posti ya maana ya CCM so viongozi wasije ingia wakute huu upuuzi…So fanyeni kuscreen shot na kuhadisiana fastaaaa kabla sijatoa huu ujinga…Maana ni ujinga ndo maaana huwa siongeagi vitu kama hivi..Ila leo naongea kuleta heshima tu…..ama nene

IMG_7429.jpg


Naona nimeumbuliwa insta nyumba nayoishi sasa …hahahahhaha…
Kwa vile nilipromise sileti mlala hoi humu ever again, I will keep my promise….. so sitotukana mtu wala kumkandia mtu…

Unafki wao wa kuswali na kutukana just 2 mins after kuswali ni mateso tosha…..lol..
Anyways, rudi posti za nyuma hapa kwa blog tafuta post ya Janury 23 2013…utaona picha hizi…
Ndo hii nyumba mnayoambiwa nakaaa hapa LA…HAHAHAHAHAHHAHA…….

Uwiii, jamani nilikaa hapo 3 yrs ago, and uwiiii im not fake, Im proud nilikaa hapo maana sio sehemu cheap
it is an expensive house ,huyo aliewapeni habari tu mwenyewe hawezi kua afford kukaa nyumba hiii…..

Na huyo bibi kizee kaipataje hiyo picha? Ni kwamba mume wangu alipata offer nzuri ya kazi Los Angeles, ghafla bin vuup so tukawana tunatafuta mtu aje apange ili sie tuondoke ndo mie nikapiga nyumba picha nikaweka kwenye mawebsite natafuta mtu w akutake over our contract…

Nyumba ilikuwa ni ka bachelor pad ka hubby maana alikuwa peke yake Marekani more than a year bila familia so aliichukua kwa ajili yake tu na ndo maana nilivyotua marekani tu tukaanza kutafuta nyumba ya familia sasa bahati mbaya au nzuri akapata offer nzuri sana Los Angeles ikabidi tusimamishe process na tumlipe real estate agent kidogo kwa kumpotezea muda na tukasepa na kufika huku tukaambiwa maana ni mji mpya hatuujui tu rent for a whole year wakati tunausoma mjiiii then tuamue tununue wapi nyumba maana marekani sehemu unayoishi ndo everything, kuanzia shule za watoto mpaka safety.

Anyways, jamani naombeni mjue huyo anaewapa habari zangu anapokaa kimaisha ni sawa ufananishe Dar na Shinyanga…yani hakuendani hata kujifananisha na Mange.

uwiiii nyumba yenyewe ilikuwa about 30 mins outside of Miami mji unaitwa FORT LAUDERDALE maana ofisi ya hubby ndo ilikuwa huko,hapo Fort Lauderdlale kwenyewe embu mgoogle ni matajir wa kizungu tu wanakaa hapo…

http://www.zillow.com/homedetails/4321-NE-13th-Ave-Oakland-Park-FL-33334/43083856_zpid/

nyumba yenyewe ndo hiyo hapo, uwiii tena ndo naona sasa hivi imeuzwa mwaka huu… Haya mwenye nyumba tu mkopo wa bank analipa kariba $1,000
kwa mwezi sasa imagine kama kaamua kuifanyia biashara akampangisha Lance alikuwa nailipia how much per month? tulikuwa tunalipa rent ya $2,800 per month
uwiii, jamani hiyo ni rent tuuuuuuuuu, sijalipa bili yoyote ile, you know why? sababu ni South Florida huko ndo matajiri wenye pesa wanapoishi na wenye hela zao wakizeeka wote wanataka kwenda kufia Florida sabbau hali ya hewa ni kama Dar joto mwaka mzimaaaaa…

Sasa jiulize
kama mume wangu anaweza kupanga nyumba ya kukaka yeye peke yakeeee akalipa $2,800 per month embu jiulize Mzungu analipwa how much kwa mwezi???hapo bado hajanilipia mimi na Kenzo rent ya apartment Dubai Marina, hahaha, na baadae tulivyokuwa Dar bado hajanitumia pesa mimi ya kuishi na mtoto Tanzania maana umbea umewashika huko insta. kwanza kuna hata mmoja wenu mwenye pesa ya kulipa rent kama hiyo???

Huyo anaewapa story tu cant afford, hahahahahahhaa…. EEh ngoja niweke heshima kidogo leo maana mtanizoe nyie watoto

Alafu kumbukeni Kenzo anasoma full time toka nimeingia marekani Kenzo alikuwa analipiwa $1,800 per month kusoma tu. Huyo bibi enu anaejifanya eti ananiumbua mwanae yupo nyumbani kuhesabu tu hajui

Maana anasubiria afike age ya kwenda kusome shule za bure za serikali…hahahahahhahaha

Mie mwanangu anasoma,kwanza hakuna mtanzania anaesomesha mtoto marekani ,kila mtu anasubiria mtoto afike miaka 5 akasome shule za bure….

Watanzania wachache mnooo, tena wakuhesabu ndo utakuta wanasomesha watoto ambao hawajafika 5yrs, tena mie nakaa LA, now namlipia Kenzo $2,900 per month maana LA ni balaa, sasa naomba chungulia insta zoooote tafuta Mtanzania anaesomesha mtoto Los Angeles.

Kila mtu analea mtoto nyumbani ila Kenzo anasoma tena sio shule za kijinga, anasoma na watoto wa kizungu tuuu, ila still mijitu eti Mange hana kituu,…hahahhhahaha… Na ukikuta mtanzania anasomesha basi anavizia anampeleka once a week mtoto kuuza sura shule…Kenzo anasoma full time from 8am -6 pm ila huwa namfata mapema maana staki ashinde huko….

hapo nimeweka hesabu za rent na shule ya Kenzo tu mafala nyie, yani wengi wenu bora mngerudi Tanzania maana mnawatesa watoto, hawasomi shule mpaka wafike 5yrs old ila hamjioni mmefulia ila MANGE ndo mnamuona kafulia….

acheni ushamba wajinga nyie, marekani nyumba zinaendana na State au mji, kila mtu anajua California ni noma, huyo anaewapa habari zangu anaishi mikoani huko naweza kumlipia maisha yake mara elfu 5 nikamlisha yeye na mume na msururu wake wa watoto…

A.jpg


Uwiii, sasa naomba mjue kuwa now nakaa like around the corner kutoka kwenye nyumba hii…..
Hii neighbourhood haina ngozi nyeusi ati, wazungu tuuu,,,,,

Angalia hiki kibanda cha kuku sasa, sasa hii nyumba inauzwaa $ 1,100,00o
ambayo ni karibia Bilioni 2 za kitanzania, mmesikia eeh BILIONI 2, and yes tumenunua nyumba area hii na ndo maana mpaka leo sijahamia
maan tunaitengeneza ila yetu nzuri zaidi maana tumeihangaikia mnoooo…..

Na hii nyumba ndani ni nzuri sababu mwenye nyumba lazma kaitengeneza sana ndani kama sisi tulivyoitengeza yetu ila nje ndo haina jinsi inabidi uishi kwenye hiko kibanda cha kuku…hahahahahha..Nyumba haina swimming pool wala nini…hahahahhaha

BONYEZA KIDUDE UONE BEI YA NYUMBA MAANA UTASEMA NADANGANYA

jamani naomba mjue kuwa hapa wala sio Beverly Hills na wala sio BEL AIR eeeh? hii ni Culver City tu ambayo ni about 15 misn to Beverly Hills
sasa naomba utafute mtanzania gani anaekaa area hii zaidi ya Mange KImambi…Waulizeni walofika kwangu kina Theo, Loveness eti Mange anakaa mji unaitwajwe????

Nyie mafala nyumba yangu niliyonunua huko bongo kwenu ni zaidi ya bilioni moja, tuheshimiane lakini ????? Hiki kibibi cha kizaramo kinachojifanya kuniongelea huko insta maisha yangu hayafikii hata robo, yani hii bei huko mkoani anapokaaa mtu inaishi kama Kingi.Mie naishi one of the most expensive cities in the world, sasa mkitaka kuwasiliza watu wanaoishi mikoani huko kwenye ghettos shauri zenu….

Now nakaa kwenye apartment jamani, Nalipa $2,600 per month eeeh tena ni ki apartment cha 2 bedroom tu na ki den, ambayo hiyo den nimeiturn into another bedroom ambayo ndo ya Kenzo ili asishee room na dadake, Nikihama tu nawawekeeni na link mzione hizo apartment maana nikama resort eeeh sio apartment ushuzi, now siweki kwa usalama wangu na wa wanangu ila nikihama tu naweka ili mniwacheee,embu niwaulize huko bongo nani kati yenu kwanza hata ana uwezi wa kurent nyumba ya bei hiyo?

acheni kujiongelesha kijinga jinga huko insta. Bongo wanaorent apartment bei hiyo ni wazungu tu wale wa masaki…Ila midomo imewakaa juu kunifatilia utadhani kuna alienizidi hata maisha…mfyuuu…

a.jpg

b.jpg


Jamani nasema hivi mtanzania yoyote anaeishi mitaa ya ATLANTA GA,
Kama nyumba yako inafanana na nyumba hii basi wewe uko same level na MANGE KIMAMBI kimaisha
ILa kama huishi kwenye nyumba kama hii basi mie ni dada yako mkubwa sana kimaisha tena uwe unaniamkia maana dhamani ya nyumba yangu in Los angeles ndo inanunua hili mansion huko mkoani kwenu……

Gosh, yani mnaniuzi nyie mpaka natamani kama nihamie Atlanta just for 1 year only niwaonyeshe how someone like me will live in Atlanta…. HAHAHAHAHHAHAHA…Ila tatizo wazungu Atlanta wanaona kama unawapeleka uswazi vile…hahahaha…Ndo maana huko wamejaa mablack tuuu….. LANCE HUKO hata apewe offer gani haendiii…lol…

INGIA KWENYE LINK UONE DHAMANI YA HII NYUMBA, HUU NDO MJI ANAOKAA BIBI ENU NI NJE KIDOGO YA ATLANTA…

wapenzi hii nyumba ni cheap kuliko hiyo niliowawekea pale juu na ni almost same price na ya kwangu…lol.. Jamani tofauti ya anapokaa bibi enu na napokaa mimi ndo kubwa hivi ila mtu bado anajilinganisha na Mange Kimambi…

Yani mtu unakaa Shinyanga ila unataka kujifananisha na wanaokaa Daslamu ,kha!! aibuuu
ndo maana nawaita maskini maana najua hamnifikii hata udole…

So please narudia tena kama huna jumba kama hili uko Atlanta kwako, shut up about my life maana only people wa level hii huko Atlanta have earned the right to talk to me….sawa eeeh?
kama unalo jumba kama hilo basi tuheshimianae from today maana tuko sawa..hahahaha…

Maaana bibi kizee kakazama ooh mie nna car garage tatu, Mange hana car garage , wakati choo changu tu kinanunua nyumba yako nzima…ooops huna nyumba, okay choo changu tu kinakulipia rent ya nyuma yako nzima….hahahahha…

Jamani ndo maana Los Angeles hakuna watanzania wote wako mikoani huko na ukiwakuta hapa hawako mitaa hii wako hukoooooo….

Jamani siku hizi nimekuwa mzee nimeacha mashauzi yake ya Dubai sijafulia jamani ni vile nimezeeka tu.

uwiii kumbukeni Dubai nilikuwa sina mtoto now nnao watatu eeeh? nna majukumu kibao maana wengine ooh shopping vipi?huna hela?

Kukuonyesha tu kuwa shopping iko pale au hata labda ni zaidi na Dubai embu fanya kunifollow insta @iworeadress

tena sivai vinguo vya dola 20 vya forever21 nilivyokuwaga navaa Dubai mamiii, siku hizi forver21 namshopia Bhoke tu.Sasa hiyo hizo nguo nazovaa insta sio shopping au unadhani na mie huwa naomba msaada wa kuvalishwa bure? maana wengine wanaomba msaada wavalishwe bure alafu ajiite anajua kuvaa, unajua kuvaa kwa nguo za bure?

hahahaha, au mlidhani najishonea mwenyewe kwenye cherahani? jamani ni kwamba people grow people change, you cant expect me to the Mange i was 6 yrs ago nimekuwa sasa mie mweneywe naona aibu kupiga picha za mifuko ya shopping au mnadhani hizo ngo naaizma kwa watu? au nguo za watoto watu si naenda kununua mall mnataka nianze kazi ya kukipiga picha nikiwa ZARA au ? siwezi tena hayo maisha ya hivyo nimekuwa mtu mzima sasa jamani vitu vingine naacha taratibu…

in 5yrs ntakuwa namiaka 40 jamani, inabidi niache vitu flani flani mana Bhoke soon atavianza inabidi nimwachie uwanja sasa…lol…

Alafu wakati nafanya vile mlikuwaga mnanuna najishau nimeacha ooh nimefulia…binadamu hamna jema…

uwii siamini nimeandika gazeti bila kumleta mtu kwenye beef na kumtukana, hahahahaha, jamani nimesema maskini siwaleti humuuuuu hata mfanayaje..Nimejitetea tu maana kweli watu wangedhani Mange Kimambi kachoka huko marekani.

Yani kweli niache maisha mazuri Dar nije teseka Marekani. Jamani nawaambie hivi ndo maana nimekaa home nafanya umbea tuu kwenye internet ni
sababu mume wangu pesa ya maaana anayoooooooooooo, tuheshimiane maana kuna siku mtaniuzi niweke pay stab yake alafu niwaambie muweke na za waume zenu kama watu hamjafunga account za instagram…MFYUUUU

Huyo anaetaka kushindana na mimi huko insta jamani hajanifikia hata 20% kimaisha jamani, mwanamke kujifanya aanzo amekaa Marekani miaka karibia 20 inaenda mpaka leo bado anapanga nyumba hawana hata plan ya kununua maana hawana hata hiyo downpayment ya kununua nyumba Mange nimekuja mrekani mwaka wa tatu huu nimenunua nyumba na hapo nimechelewa sabababu ya kuhama hama miji….

Kujisifia eti nna garage 3 sijui nini? mzee mzima miaka 50 unajisfia nyumba ya kupanga? si bora ukae kimya, huoni haya? mie mume kama wa huyo mama ningesha mdivorce mwanaume wa kuuza sura hata nyumba hawezi kununua..

IM SOLE…….HAHAHAHAHHAHAHA


Chanzo: U-turn blog
 
Diaspora wa Tanzania,hasa waishio Marekani,hawapendani na wanachukiana sana. Tatizo nini? Ugumu wa maisha ? ama ?

Wewe mama LIKUD una ugiligili mbaya sana! Hujiamini, kila siku unatafuta watu watajuaje kama wewe umeolewa na mume tajiri. Akili zako haziko sawa hata kidogo! Una ugonjwa wa ukichaa. Unahitaji matibabu haraka sana.
 
Sijaelewa hata kimoja, au JF kuna mtu anatafta nyumba ya kupanga Marekani? Naomba kueleweshwa anawejua zaidi
 
Wendawazimu wapo kila sehemu.

Wapo Burundi, wapo Tanzania, wapo Kenya, wapo Uingereza, wapo Dar-Es-Salaam, wapo Kathmandu, na kadhalika.

Sasa uwepo wa wendawazimu sehemu fulani hakufanyi wote waliopo hiyo sehemu kuwa wendawazimu.

Kwa hiyo, badala ya kuwarundika hao wendawazimu na wale wasiyo wendawazimu ni busara kuwataja wao tu majina yao ili kuepuka kuwaingiza na wasio wendawazimu kwenye huo uendawazimu wao.

Tanzania kuna vibaka wengi. Lakini si Watanzania wote ni vibaka.
 
Kiukweli waTZ wengi waishio ughaibuni wana maisha ya kawaida mnoo!! they live basic life yaani ni yale maisha fulani tu ya kuwa na uhakika wa kula, kulala, kutibiwa ukiugua and other social services (reliable umeme, maji, public transport etc). Lakini siyo maisha ya matanuzi kama waliopo bongo wanavyowafikiria.

Binafsi namuelewa vizuri anachoongea Mange
 
Kiukweli waTZ wengi waishio ughaibuni wana maisha ya kawaida mnoo!! they live basic life yaani ni yale maisha fulani tu ya kuwa na uhakika wa kula, kulala, kutibiwa ukiugua and other social services (reliable umeme, maji, public transport etc). Lakini siyo maisha ya matanuzi kama waliopo bongo wanavyowafikiria.

Binafsi namuelewa vizuri anachoongea Mange

Kuna aliyedai ana maisha ya kutanua?
 
Ndio mana waafrika tukawa weusi, maskini na tusio na akili km wazungu. Hivi wazungu wangekua maskini afu sisi ndo tajiri??
 
Sasa mimi namshangaa huyu mwanamke, hizo hela anazodai sijui kanunua nyumba, sijui kapanga L.A sijui anamsomesha mwanae shule gani ni za kwake amezipata au ana cover bills kwa kufanya kazi au kwa mumewe? daah watu wanaushamba sana yani, kuenda huko marekani basi wanajiassimilate na black american culture maana wao kuutwa kusifia gucci, prada, CK na etc yani elimu wanayo lakini hawaelimiki....
 
daah watu wanaushamba sana yani, kuenda huko marekani basi wanajiassimilate na black american culture maana wao kuutwa kusifia gucci, prada, CK na etc yani elimu wanayo lakini hawaelimiki....

Black American culture ndo ikoje?
 
Back
Top Bottom