Nimeishi Germany mwaka mmoja, boxi zipo kama kawaida ya nchi zote za ulaya na malipo nadhani si tofauti sana na USA ila tatizo la Germany ni wabaguzi wa rangi kuna mji nilienda unaitwa Marburg niliingia kanisani watu karibia nusu walitoka
Iliyokuwa East germany ndiyo bado watata...ila west siyo sana kiviile...!!aiseee mzee uliharibu ibada ya watu ...hahaa
huo kweli ni zaidi ya ubaguzi
aiseee kweli jamaa wanaroho mbayaIliyokuwa East germany ndiyo bado watata...ila west siyo sana kiviile...!!
Nimeishi Germany mwaka mmoja, boxi zipo kama kawaida ya nchi zote za ulaya na malipo nadhani si tofauti sana na USA ila tatizo la Germany ni wabaguzi wa rangi kuna mji nilienda unaitwa Marburg niliingia kanisani watu karibia nusu walitoka
DiiiNimeishi Germany mwaka mmoja, boxi zipo kama kawaida ya nchi zote za ulaya na malipo nadhani si tofauti sana na USA ila tatizo la Germany ni wabaguzi wa rangi kuna mji nilienda unaitwa Marburg niliingia kanisani watu karibia nusu walitoka
Au alijamba nini?Kwani kutoka kwao kanisani kulikuwa na uhusiano gani na kuingia kwako kanisani mkuu?
Ukisimuliwa habari za kijiweni ziache huko huko na usijeb kudanganya hapa! Ni uongo kusema uliingia kanisani halafu eti ''watu karibia nusu'' wakatoka. Ungetaka usishtukiwe uongo wako ungesema ''walikukataza kuingia kanisani''. Bado siamini kuwa utawafuata ma racists kwenye kilinge chao halfu wao wakukimbie. Iwe Bar, iwe kanisani watakukataza kuingia lkn hawatakukimbia.Nimeishi Germany mwaka mmoja, boxi zipo kama kawaida ya nchi zote za ulaya na malipo nadhani si tofauti sana na USA ila tatizo la Germany ni wabaguzi wa rangi kuna mji nilienda unaitwa Marburg niliingia kanisani watu karibia nusu walitoka
Siwezi kudanganya nimekaa Germany na nawajua. Nimekaa Giessen, Gottingen na Marburg nawajua sana hao jamaaUkisimuliwa habari za kijiweni ziache huko huko na usijeb kudanganya hapa! Ni uongo kusema uliingia kanisani halafu eti ''watu karibia nusu'' wakatoka. Ungetaka usishtukiwe uongo wako ungesema ''walikukataza kuingia kanisani''. Bado siamini kuwa utawafuata ma racists kwenye kilinge chao halfu wao wakukimbie. Iwe Bar, iwe kanisani watakukataza kuingia lkn hawatakukimbia.
kwani mwendokasi sio daladala?Kwan mwendokasi hamna?
Daah pole mkuu, so sad indeed, then ilikuwaje ?Nimeishi Germany mwaka mmoja, boxi zipo kama kawaida ya nchi zote za ulaya na malipo nadhani si tofauti sana na USA ila tatizo la Germany ni wabaguzi wa rangi kuna mji nilienda unaitwa Marburg niliingia kanisani watu karibia nusu walitoka