Diaspora Germany, Maisha yakoje

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
296
Reaction score
181
Wakuu munaoishi uko germany... Napenda Kujua mnaishi vp? Je mnaruhusiwa kufanya kazi za kubeba box kama marekan..wabeba box mnalipwaje? . Je hambaguliwi!?..... Nataka Kujua hayo, sababu wakuu.. Maana tumekuwa tunaskia mengi kutoka diaspora wa marekan Leo am interested Kujuzwa kuhusu germany.
 
Acha kuzunguka sema upewe njia ya kufikia huko...
 
Kwa sasa Niko kwenye daladala naelekea Munich nikifika nitakupa mpango mzima
 
Nimeishi Germany mwaka mmoja, boxi zipo kama kawaida ya nchi zote za ulaya na malipo nadhani si tofauti sana na USA ila tatizo la Germany ni wabaguzi wa rangi kuna mji nilienda unaitwa Marburg niliingia kanisani watu karibia nusu walitoka
 
Kwani kutoka kwao kanisani kulikuwa na uhusiano gani na kuingia kwako kanisani mkuu?
 
Nimeishi Germany mwaka mmoja, boxi zipo kama kawaida ya nchi zote za ulaya na malipo nadhani si tofauti sana na USA ila tatizo la Germany ni wabaguzi wa rangi kuna mji nilienda unaitwa Marburg niliingia kanisani watu karibia nusu walitoka
aiseee mzee uliharibu ibada ya watu ...hahaa
huo kweli ni zaidi ya ubaguzi
 
walitoka huku wanasema kwa kijerumani kuwa nyani ameingia kutibua ibada yao wengine wanasema shetani ameingia. Nilikuja kuambiwa kuwa ule mji una ubaguzi sana na nisipende kujichanganya nao sehemu za kijamii kama kanisani
Pole sana mkuu,lakini ukweli ni kwamba Wazungu huwa hawatupendi bali tunajipendekeza tu kwao kwa umasikini wetu
 
Vipi...
Nimeishi Germany mwaka mmoja, boxi zipo kama kawaida ya nchi zote za ulaya na malipo nadhani si tofauti sana na USA ila tatizo la Germany ni wabaguzi wa rangi kuna mji nilienda unaitwa Marburg niliingia kanisani watu karibia nusu walitoka
...mchungaji naye alitoka au?
 
Nimeishi Germany mwaka mmoja, boxi zipo kama kawaida ya nchi zote za ulaya na malipo nadhani si tofauti sana na USA ila tatizo la Germany ni wabaguzi wa rangi kuna mji nilienda unaitwa Marburg niliingia kanisani watu karibia nusu walitoka
Hatari sana,,sasa wanasali nini kama wanamuona binadamu wengine sio watu.Maajabu.
 
walitoka huku wanasema kwa kijerumani kuwa nyani ameingia kutibua ibada yao wengine wanasema shetani ameingia. Nilikuja kuambiwa kuwa ule mji una ubaguzi sana na nisipende kujichanganya nao sehemu za kijamii kama kanisani
Ilikua mwaka gani chief?
 
Germany ni wabaguzi sana kuliko wote duniani
 
walitoka huku wanasema kwa kijerumani kuwa nyani ameingia kutibua ibada yao wengine wanasema shetani ameingia. Nilikuja kuambiwa kuwa ule mji una ubaguzi sana na nisipende kujichanganya nao sehemu za kijamii kama kanisani

Mkuu... Kama kuna nchi dunia hii ambayo inajaribu kudhibiti ubaguzi , ni Ujerumani kwa sababu ya historia yake. Ubaguzi upo lakini sio kama US, UK au Urusi.
Hilo kanisa haikosi lilikua sio la wakristo ..
 
Nimeishi Germany mwaka mmoja, boxi zipo kama kawaida ya nchi zote za ulaya na malipo nadhani si tofauti sana na USA ila tatizo la Germany ni wabaguzi wa rangi kuna mji nilienda unaitwa Marburg niliingia kanisani watu karibia nusu walitoka
Du! Nlijua tu uko ubaguzi upo juuu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…