Asante kwa marekebisho ni kufupisha tuUandikwa diaper badala ya diper. Pia nappy badala ya nepy. Ni hayo tu.
Hz hazisababishi uti?View attachment 494917sleep ni nzur sana
Na wewe sio "Uandikwa" bali ni "Huandikwa"Uandikwa diaper badala ya diper. Pia nappy badala ya nepy. Ni hayo tu.
Hapana kwa mwanangu sijaona hili tatizoHz hazisababishi uti?
Kama unamaelezo zaidi toa hapa watu wote wafaidike. Vinginevyo nyoosha maelezo kuwa wewe ni muuza diper na aku pm umuuzie. Over overPredo zipo powaa sana ...zinatoka uturuki kama unataka ni pm kwa maelezo zaid
Mkuu leta hiyo thread mapema nifahamu madhara yake... Mtoto wangu Wa kwanza ana 3 yrs nilimlea kwa nusu nepi na nusu ponpon... Wapili sijawahi mfunga nepi plz uje utuambie madhara yake.Nyie wamama nyie watoto wafungeni nepi, sio hayo mapampas sijui nini nini sijui. Wafungeni NEPI. Nitakuja na thread hapa nikipata muda kuwapa somo
Usasa mkuu,kufua nepi hawataki..Nyie wamama nyie watoto wafungeni nepi, sio hayo mapampas sijui nini nini sijui. Wafungeni NEPI. Nitakuja na thread hapa nikipata muda kuwapa somo
Kazi wanayo watotoUsasa mkuu,kufua nepi hawataki..