Hahaha nilijua tuu utakuja hahaa
kwahiyo na wewe umeanzisha sred ya Diamond.?? Haya hongera.
Hata Diamond akionekana anatema mate atafunguliwa uzi just ilimradi tukwahiyo na wewe umeanzisha sred ya Diamond.?? Haya hongera.
Unavyonishangaa mm kufungua Uzi kwa kupongeza kazi ya diamond unafanya na mm pia nikushangae kwa nn unishangae....
Tupunguze chuki watanzania.wivu mbaya sana.
Yaani mtu from no where unaumia kuona mwenzako kapost kuhusu diamond kweli inakuja hiyoo???
Mbaya zaidi nimetoa maoni yangu juu ya kazi yake na Yemi,na ww toa yako bhasiii.
Labda wafungulie thread kuhusu wao,wanasahau kua dai ni maarufu lazima aongeleweeee
Sisi watanzania ni watu wa ajabu kweli dina..yaani mtu anakereka mm kumpongeza domo daah!!!mtu akifanya kazi nzuri asipongezwe....
Nilifatilia comments za watu ktk hio video wengi wamependezwa na dai kuliko yemi.
Na ukiandika habari ya daimond hata kama sio team dai unajulikana we ni team domo na ukiandika ya kiba we team kiba hhhhhhhaaaaaa
Hapo ndo pananchosha kabisa maana kama mm huwa navutiwa na kazi zao wote wawili....lakini kuna watu wanataka kulazimisha uhasama.
Bado mimi tu sijaanzisha ya Kiba...sijui nasubiri nini....
kwi kwi kwi kwiii kichwa cha habari huna unaanzaje anzaje kwa mfano, au utarudia vilivyopita shogaaa???