Ni lini Diamond alianza kumpiga vitofa Zari kama sio baada ya Zari kutangaza kwamba Mond katelekeza watoto wakati Ni Zari mwenyewe ndie alizuia hadi (Zari) akafikia kum-block (Mond) kwenye Instagram accounts za watoto! Yaani ugomvi ni wao watu wazima lakini Zari anakuja kum-block Mond kwenye akaunti za watoto!! Ungekuwa wewe ungekaa kimya?! Au ulitaka akae kimya ili muendelee kuvumisha uzushi kwamba Diamond katelekeza watoto?