Diamond wakikubania sana hama nchi

Diamond wakikubania sana hama nchi

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,002
Reaction score
72,287
Hii nchi ishakuwa ya ajabu sana ,hivi nyie Basata au mawaziri wa sanaa mmeshawah kuwasaidia nini wasanii au kuwainua katika swala La mziki ,

Mkatae mkubali Diamond katutangaza duniani anapoenda kwenye matamasha makubwa ya nchi anabeba Bendera ya nchi ya Tanzania,anapotengeneza video anatumia gharama kubwa sana, pia kuwapata hao wasanii anaowashirikisha ni kazi kubwa,

Halafu anatokea mtu amekurupuka huko eti anamfungia nyimbo wakati hata kuwasaidia wasanii wenu hakuna inafanya mtu afikirie sana. Kwa upande wangu Diamond alivyojibu ni sahihii kabisa na ikibidi kama figisu zinazidi hama tu tutakuelewa maana hili linchi halieleweki yaan ni bongo bahati mbaya ,

Mnazuia mziki wa diamond zuieni na channel tunazoangalia za miziki ya duniani huko. Kwanza sisi mwenyewe tunapenda kuona hivyo vichuchu na vikalio kwenye video na mauno ya feni, maadili my foot hatuyataki hayo maadili yenu sisi yana msaada gani?

Kwa hili Basata fanyeni kazi zingine Hamna msaada na wasanii wa hapa nyumbani. Diamond wakibana hama na hiyo wasafi TV hamishia hata Kenya waimbe wao Basata tuone nani atasikiliza mfyuuuuuu zao.

Halaf li Diamond limenifurahisha kweli likaachia na African beauty eheheh likazidi kuwachafua haswa, Hivi we Shonza una maadili gani!? Diamond yupo jui acheni kumshusha, sijui Watanzania tupoje baadhi yetu au unamtaka Diamond akukaze nini maana kwenye Yale mambo yetu Diamond ni balaa
 
Mkimbia kwao mtumwa! Nyumbani ni nyumbani. Sijaona cha kumkimbiza nchi
 
Safi kabisa.

Tuone kama atawika na huko nje ili tumsunt e vizuri naibu waziri

Ushauri bana kutoa virahisi ila vitendo ngumu mno kutekelezeka
 
Kila kitu kinaendeshwa kisiasa,usipokuwa upande fulani hata kama ni msanii wa nyimbo za injili inakula kwako
 
True hawaweki miundombinu rafiki halafu bado wanawafungia kirahisi tu na kudai kodi. Haina tofauti na kutomlisha n'gombe na huku unataka atoe maziwa
Diamond kaajiri vijana,kaibua vipaji vya vijana kawainua halaf kanatokea ka kinuka mkojo kanaongea uharo kwanza hilo libasata lingefutwa tu
 
Diamond akihamia nchi yoyote East Africa bado ataendelea tu kutusua chibu dee.... chibu dii
 
Back
Top Bottom