Diamond Trust Bank - Officers Branch Banking

hillman

Senior Member
Joined
May 28, 2014
Posts
159
Reaction score
45
Hey wana JF

Mwenye updates yeyote ya nafasi hii iliyotangazwa three wiks passed aniambie, cauz naona kimya king sana

Thanks in advance
 
wale huwa hwaiti hiv karibun hadi miez sita hiv mim nlituma mwaka jana.mwezi wa tisa wakaniita mwezi wa tatu mwaka ulofata so kma ulituma vuta subira bado xna ndugu labda september or october
 
Poa ndugu, nimekuelewa, ngoja niwe na subira,
 
Back
Top Bottom