Diamond platnumz unatuharibia mahusiano

Diamond platnumz unatuharibia mahusiano

vposterior

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2018
Posts
732
Reaction score
1,232
Habari wana MMU. Kwa kweli diamond sifa anazofanya za kuwapa magari girlfriends wake mbele ya camera anatupa mtihani mkubwa sisi wanaume. Ukweli my wife ni pregnant na ubaya zaidi birthday yake ni mwezi huu ambao amezaliwa Tanasha, sasa mtihani mkubwa mke wangu tangia aone ile clip ya Mond akiwapa Tanasha na mama ake yale magari basi mda wote anaangalia hiyo clip yaani hadi kero tena anataka tuangalie wote. Duuuh yaani sijui ndo ni hii mimba tu inampeleka huko au anafeeling ya kununuliwa gari wakati mm nimejiandaa nimnunulie iPhone tu. Wanawake mliowahi kubeba mimba inatokea huwa kuna movie au labda nyimbo mjamzito anakuwa anapenda sana kiasi cha kuangalia mara kumi kwa siku, maana hii inayotokea hapa kwangu sielewi.
 
Viatu vya Samaki,
Ni birthday mkuu sio kwa sababu ya uja uzito. Hata hivyo zamani wajawazito wakijifungua wakizawadiwa kanga mpya au vitenge basi pengine na gauni.
 
Kama una uwezo wa kumnunulia si umnunulie tu mkuu, fanya kufumba macho bwana
Gari ipo na yy ni house wife kuna haja gani ya yeye kuwa na gari, weekends si tunatoka wote na clinic nampeleka mwenyewe.
 
Kwa hiyo na wewe unataka kuwa kama diamond vijana mnapenda maisha ya kuigiza birthday sio jambo lenye maana yoyote ile tafuta pesa
 
Mchongee sanamu lake ila usimkosee liwe kama lile la juzi nooo..!!
 
Ni birthday mkuu sio kwa sababu ya uja uzito. Hata hivyo zamani wajawazito wakijifungua wakizawadiwa kanga mpya au vitenge basi pengine na gauni.
Wajawazito gani ulishuhudia wanapewa magauni na kanga? Na hizo zawadi siku ya kuzaliwa anapewa ili iweje.
 
Ile Prado iko pale Mbezi muda mrefu sana. Sasa sijui lini imegeuka kuwa mpya
 
Ukiiga kunya kwa tembo utapasuka msamba dogo! Diamond ni level zingine. Kiwanda chake kinauza bidhaa (nyimbo) Afrika na Dunia nzima. Je wewe una hata genge la kuuza bidhaa kwa wana mtaa wako?
 
Kama ni huyu anaye squart, tafuta gari mkuu.
 
Hapa tatizo ni kuwa mke wako hajakuelewa. Kwani weqe unaitwa Nasib Abdalah, angeolewa na Diamond basi
 
Kama ni huyu anaye squart, tafuta gari mkuu.
Gari moja inatosha mkuu.
 
Habari wana MMU. Kwa kweli diamond sifa anazofanya za kuwapa magari girlfriends wake mbele ya camera anatupa mtihani mkubwa sisi wanaume. Ukweli my wife ni pregnant na ubaya zaidi birthday yake ni mwezi huu ambao amezaliwa Tanasha, sasa mtihani mkubwa mke wangu tangia aone ile clip ya Mond akiwapa Tanasha na mama ake yale magari basi mda wote anaangalia hiyo clip yaani hadi kero tena anataka tuangalie wote. Duuuh yaani sijui ndo ni hii mimba tu inampeleka huko au anafeeling ya kununuliwa gari wakati mm nimejiandaa nimnunulie iPhone tu. Wanawake mliowahi kubeba mimba inatokea huwa kuna movie au labda nyimbo mjamzito anakuwa anapenda sana kiasi cha kuangalia mara kumi kwa siku, maana hii inayotokea hapa kwangu sielewi.
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo!!!!!!!
 
Mkewako anapenda mambo makubwa sana, angalia sana asije akawa analiwa sana nnje
 
Ukiiga kunya kwa tembo utapasuka msamba dogo! Diamond ni level zingine. Kiwanda chake kinauza bidhaa (nyimbo) Afrika na Dunia nzima. Je wewe una hata genge la kuuza bidhaa kwa wana mtaa wako?
Mkuu mm siigi mbona nimejiandaa na unawezo wangu kasimu tu ila diamond ndo anawafany wadada huku nao wawaze mandinga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom