Diamond Platnumz - Siniza

Diamond Platnumz - Siniza

Isack inno B

Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
97
Reaction score
51
DIAMOND PLATNUMZ - SINIZA

Ni nyimbo ambayo haijatoka rasmi ila ni nzuri sana, aina hii ya Bongo flavour ni muziki halisia wa kitanzania.

Jaribu kuisikiliza hapa na toa maoni yako


 
Hivi huyo dada aliyeshikwa matak hapo kwenye picha anajisikiaje?
 
Back
Top Bottom