Kumbuka DEATH ROW ilishawah kuwa Record label kubwa duniani na ikawa na msanii ambaye inasemekana ndio the NUMBER ONE BEST RAPER EVER ( 2 PACE), leo hii hakuna kitu, Suge ndio huyo yupo ndani kapigwa mvua za kutosha, label kama cash money/young money wanatamba tu...Maisha huwa yanabadilika mzee, HAKUKUWAH KUWA NA REDIO KUBWA KAMA CLOUDS HAPA TZ leo Kuna hadi kina Majizzo wanatamba tu...