Hapana, amefanya vizuri tena ingewezekana ingebaki huko huko manake ikianza kupigwa TZ, watu utasikia oh, anabebwa na ma-scandal... yaani watu hawataki kukubali kwamba kila zama na kitabu chake!!! "mmoja anaingia, mmoja anatoka...Kusema ukweli jamaa anajua nimetoka kuicheki video ya wimbo wake mpya Unaoitwa NITAMPATA WAPI ambao umetoka kupigwa muda si mrefu kwenye kituo cha TV cha TRACE video yake imesimama kweli kweli na ukichanganya na modal wake wa kizungu ipo vzuri sana ila ameniudhi tu vituo vya bongo vya TV na Redio haijasambazwa amefanya vibaya
Aisee DAIMOND SHIKAMOOOOOOOO
TARATIBU UTAUAAAAAAAAAAAA HALI MBAYAA NYIMBO KALI KAMA HIII MBONA SHIDAAAAAA
Haihitaji degree kujua hilo teh.....
Na wakuache urareeeeeeeeeeeeeeee
Miaka miaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Alaf kila siku mnasema diamond mbunifu.'
Kama n mbunifu atoe wimbo usiohusu mapenzi then ufunike kama yule mtoto wa k/koo..
Alaf kila siku mnasema diamond mbunifu.'
Kama n mbunifu atoe wimbo usiohusu mapenzi then ufunike kama yule mtoto wa k/koo..
My Caviar ipo wazi wewe #Team Mond
Alaf kila siku mnasema diamond mbunifu.'
Kama n mbunifu atoe wimbo usiohusu mapenzi then ufunike kama yule mtoto wa k/koo..