Diamond platnumz kwenye tuzo za mtv ema 2021

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,515
Reaction score
14,837
Breaking News: Majina ya mastaa mbalimbali yametajwa kuwania tuzo za #MtvEma2021 ambazo zitafanyika nchini Hungury mwishoni mwa 2021. Kwenye orodha hiyo staa wa muziki kutoka Tanzania diamondplatnumz ndiye msanii anayeiwakilisha Afrika Mashariki na kati
---------------------------------------------------------------------------
Diamond Platnumz ametajwa kwenye kipengele cha Best African Act ambapo atachuana na wakali wengine kutoka Afrika kama Wizkidayo @temsbaby @focalistic na @amaarae kutoka nchini Ghana
----------------------------------------------------------------------
Tuzo hizo zinatarajiwa kutolewa mnamo November 14,2021 huko nchini Hungury. Justine Bieber ameongozwa kwa kutajwa kwenye vipengele vingi ambapo ametajwa kwenye vipengele nane(8)
---------------------------------
20211020_195833.jpg
 
---------------------------------View attachment 1981101
Harnonize anabaniwa sana
 
Wajanja sana kwenye luchagua wasanii wa kuruka ruka na kukata viuono ili ku secure nafasi za ushindi kwa wasanii wao pendwa.

Peleka msanii pale akianza kuimba unatulia unasikiliza jinsi mashairi na sauti yalivyopangiliwa hata kama uelewi lugha utaenda tafuta lyrics na kuhamishia kwenye lugha yako.
 
Sioni nafasi jamaa yakushinda huyo dogo focalistic kwa hit yake sidhani kama jamaa anahit itayoshindana nayo na wizkid anatrack imehit mpaka drake alikuwa anasikiliza recently kwa kifupi jamaa wamejaza nafasi tu.
 
Naona wale Wanaharaka-tiiiiii huko twitter aka mashangazi, sasa hivi wanajiandaa na kumpinga Sadala,siku hizi naye ni mnyonge wao.
 
Wajanja sana kwenye luchagua wasanii wa kuruka ruka na kukata viuono ili ku secure nafasi za ushindi kwa wasanii wao pendwa.

Peleka msanii pale akianza kuimba unatulia unasikiliza jinsi mashairi na sauti yalivyopangiliwa hata kama uelewi lugha utaenda tafuta lyrics na kuhamishia kwenye lugha yako.
Huo muda hatuna mkuu
 
Wajanja sana kwenye luchagua wasanii wa kuruka ruka na kukata viuono ili ku secure nafasi za ushindi kwa wasanii wao pendwa.

Peleka msanii pale akianza kuimba unatulia unasikiliza jinsi mashairi na sauti yalivyopangiliwa hata kama uelewi lugha utaenda tafuta lyrics na kuhamishia kwenye lugha yako.
Huo muda hatuna mkuu
 
Sioni nafasi jamaa yakushinda huyo dogo focalistic kwa hit yake sidhani kama jamaa anahit itayoshindana nayo na wizkid anatrack imehit mpaka drake alikuwa anasikiliza recently kwa kifupi jamaa wamejaza nafasi tu.
Kujaza nafasi inatosha. Hana deni kwa nchi huyu kijana. Wengine sasa wakaendeleze alipoishia walete tuzo nyumbani.
 
Hongera sana Dimond. Mpk sasa wanamchukua yeye kwa sbb ndo anaeonekana, amefanya collabo na wasanii wakubwa duniani. So kwa hawa wengine sio kwamba hawajui ila ndo hivyo hawajitangazi kimataifa.
 
Wasanii wengi wa kitanzania wamelizika na hawana fight spirit ndio maana hawafiki mbali kwa namna hiyo Diamond ataendelea kuwa yeye tu
 
Agodai ma bebe

shidooo shidooo wana nobade

yu kani koll me namba wani so muchi monee in ze benk moneee

[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
 
Nakuona ticha konde unabugia ugali na hulingishii wana mahela kama Kiba wa Sinderela
 
Back
Top Bottom