Carbondioxide
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 733
- 195
Nyota wa muziki Bongo fleva maarufu kama Diamond Platnumz ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wa "Utanipenda" anategemea kwenda kufanya maajabu nchini "Swedeni" ambako atakanyaga stage moja na mkali wa wimbo wa unaoitwa "Can Do" maarufu kama "Dati" ambaye pia mtanzania anayeishi nchini humo.Itakuwa ni 27/3/2016 Subtopia Alby Vagen 38 muda ni saa 2:00-5:00 get ready.
Chanzo.teamtz.com
Chanzo.teamtz.com