LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,150
- 11,197
Tusisubiri mtu afe kama kanumba ndio tumpe sifa zake, tumpe leo leo, Kiukweli mafanikio ya Daimond platnumz yamekuwa ni mafanikio ya watu wengi sana.
Kijana sio mbinafsi anapenda kula keki yake na watu wengine, tokea aanzishe WCB wasanii alio wasajili pale, crew nzima ya wcb pale hukosi watu 60 pale wanaendesha maisha kupitia WCB, ukija kwenye Wasafi Media napo katoa ujira kwa watu wengi sana, hata kama ana share kubwa pale lakini wasafi media ni icon ya Diamond asipokuwepo Diamond wasafi haiwezi kushine.
Kwa show za mikoani na jana tu kwenye show yake ukianzia wasanii hadi kikosi kazi na wafanya biashara kuna watu zaidi ya 1000 msimu huu wamepata ujira sababu ya ile show na show nyingne za miakoani na wanaendesha familia zao
Wapo wanaombeza jamaa anaringa kutembea na wale mabaunsa, mi namshauri atembee nao hata miamoja maana, anawalipa hata kama ni hela ndogo lakini wanaendesha familia zao na wao wanategemewa
kile ni kitendo cha kutumia fedha zako kuwapa wengine rizki, heka heka za Diamond zinawanufaisha watu wengi sana ukiacha wafanyakazi wake hata wamiliki wa media, online na magazeti wanapiga sana hela kupitia habari zake, hiyo ndio tunaita fursa
Wengi wasiompenda huyu jamaa ni watu wenye wivu wa maendeleo, ila kijana anastahili pongezi kwa kuwainua wengine