Diamond platnumz hii sasa sifa

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,879
7,382

Attachments

  • mond, aka.png
    mond, aka.png
    55 KB · Views: 1,866
Simbaa
Diamond platnumz
Chibu dangote
Baba Tiffah
King of Afropop
Mondi bin laden
D billion
Mzee wa minyoosho
Rais wa wasafi
Domo
Mzee wa mituzo
Mondi bin awards
Mzee wa hattrick
Kichwa cha bongo flavour


NOOMA SANAAAAAAA...!!
 
Nilishasema na hapa narudia.... tayari nilishafanya kosa kuipenda Arsenal; sirudii tena kosa kama hilo ambalo nililifanya wakati nikiwa mdogo sana baada ya kudanganywa eti Dar Young Sports Club wana undugu na Arsenal.... aaaaaaaaargh!!!!
 
Back
Top Bottom