Well Nimekuwa nikipokea maswali na Comment nyingi eti kwanini sitangazi vipengele vyangu vya Tunzo watu wanipigie kura...tafadhali naomba mniskilize kwa umakini:
Ikiwa MOE MUSIC hakuonekana ni Mmoja ya Mwanamuziki bora Chipukizi.. NDAGUSHIMA ya Ommy Dimpoz haikuonekana inafaa kugombe kama Moja ya Video bora.. Video ya Rich Mavocal - PACHA WANGU haikuonekana inafaa kugombea kama moja ya video bora...
YAMOTO BAND licha ya kuvuma na kujaza kila show ya kila pembe ya Tanzania ila Mwisho wa Siku wameambulia Category Mbili tu Unafkiri mimi nina haja gani ya Kuomba kura???? Hivi kuna Nyimbo zimependwa na kuvuma kama NITAJUTA ama NISEME ya YAMOTO BAND Tanzania?? Eti mwisho wa siku, watoto wa watu licha ya Juhudi zote eti hazikustahili wameambulia Category Mbili tu...
Hivi kweli Tunakuza Muziki wetu au Tunaua??? Mimi Kuwa na Categories 10 na Kuongoza kwa Vipengele vingi hakunifanyi eti nifurahie Wengine wanapoumizwa...kwani Kwangu mimi sifanyi mziki ili Nifaidike bali nafanya ili wasanii na Taifa langu pamoja na Tasnia yangu izidi kufika mbali na tuheshimike...
I have been to this Industry zaidi ya Miaka Mitano (5 ) so panapo NAMNA Napajuaga mapema na Ndiomaana sitaki kuwapotezesha watu pesa zao wanipigie kura halaf ziende na maji... Wakiona kuna mahala nilistahili watatoa wakiona sijastahili ni haki yangu kutopewa...Nilishawai hata kutopewa tunzo kabisa ila Mpaka leo sijawai shuka na Sitokaa Nishuke labda Waniue!...
Napost PART 2
Akwende huko kaogopa aibuu maana hatashinda....
Alitaka kiba asiwepo sasa mfalme yupo na ndo karudia kiti chake... heheheiyaaaaaaa Domo nawa na mafuta tayari kwa kula mafenes eeeee
Nimekusoma kwenye uzi mmoja jana kuwa wewe ni ndugu yake Kiba na uliandika ulikuwa mmojab wa waliokumbwa na majambazi. Pole
Ila kwanini unamchukia sana Diamond maana posts zako ni za makali humu ndani kana vile aangike kesho na now unefurahia alichoandika.
Je ungefanya kama Sakafu kujatibu kumpaisha kiba ai ungeona furaha na chuki ingepungua kwa Diamond kwani aliwafanya nini D mtoto wa Tandale?
Lini ulimsikia Chibu akimsema kaka yako live re kuwa king? Labda sikusikia
Jinsi ya kumpigia kura Diamond kwenye tuzo za KTMA katika vipengele alivyowekwa andika GA1, FB2, DA3, BB4, AJ3 na AH2 tuma kwenda namba 15415. Kupiga kura kwa watsap tuma hizo code kwenda namba 0686528813. Pia online kupitia www.ktma.com diamondplatnumz. mashabiki ndio tushaamua hivooo dangote anastahili kuzichukua zote alizokuwa nominated.......

Ni msanii aliyefikia kuwa NEMBO YA TAIFA, lakini pia ndio aliyekafanya kale kajamaa kalikoibiwa tsh. milion 732 na majambawazi 162 kasipate shows za mihela na hata watu wa matangazo hawamuoniDiamond ndio nani?
Ni msanii aliyefikia kuwa NEMBO YA TAIFA, lakini pia ndio aliyekafanya kale kajamaa kalikoibiwa tsh. milion 732 na majambawazi 162 kasipate shows za mihela na hata watu wa matangazo hawamuoni