Mzee hawa watu Numbisa na Daudi Mchambuzi hujawajua tu!? hawa ni haters wa Diamond na Wcb na sio fans wa muziki wanaumia sana wanapoona Mond anafanikiwa wanatamani Leo kesho ashuke lakini waapi...walivyo wanafki sasa baada ya kuona jitihada za kumshusha kwa kumtumia Kiba zimegonga mwamba wamehamia upande wa Harmo na kujifanya kumsapoti kipindi hiki na wakati mwanzo walimponda na sasa Mind kawaumbua zaidi baada ya kuonyesha kuwa bado yupo pamoja na kijana wake kwahiyo wanachokifanya hapa ni kuanza kurushia mipira watu eti oh mlikua mnamponda Harmonize wakati wao ndio wapondaji wakubwa wa Wcb toka kipindi hiko...jamii ya watu kama hawa ndio wale ambao ni wanafki na hatupaswi kuishi nao kwenye jamii yetu ya kitanzania...off course sio lazima kila mtu ampende Mond hata mm bongo Nina wasanii wangu ila sio mind na kiba lakini siwezi nkaonyesha chuki za wazi na za kichawi kwa mtu ambaye sio my favorite badala yake wakifanya mazuri huwa napongeza vilev
Halafu hizo roho achia Dada zako kina Numbisa mwanaume kuchukia hustle za mwanaume mwenzio ni dalili za kuhitaji kuolewa kabisa..After all lini umeona Mimi Nina ushabiki wa kimaandazi kama mliokuwa nao nyie wenye timu zenu? Mimi nasifia anapohitaji kusifiwa awe Kiba,Mond,Harmonize n.kHebu acha jazba za kike.
Kutwa nzima msanii yyoyote akionesha mafanikio mnamtukana, mnamuombea mabaya, mnakua na imani za kichawi kuwa ni Diamond pekee ndiyo anapaswa kufanya vizuri na pia hamuamini kuwa Diamond anaweza kufanya vizuri at the same time na mwingine akafanya vizuri.
Sasa jana mmeumbuka baada ya Diamond kupromote album ya Harmonize.
Jitahidi uwe shabiki wa vitu vizuri ili uwe flexible na sio uwe shabiki wa mtu binafsi akibadilika unabaki unaumbuka kama hivi.
Halafu hizo roho achia Dada zako kina Numbisa mwanaume kuchukia hustle za mwanaume mwenzio ni dalili za kuhitaji kuolewa kabisa..After all lini umeona Mimi Nina ushabiki wa kimaandazi kama mliokuwa nao nyie wenye timu zenu? Mimi nasifia anapohitaji kusifiwa awe Kiba,Mond,Harmonize n.k lakini huwa najisikia aibu sana kuona mwanaume kama wewe unakua na chuki za kikekike kwa MTU ambae kila mtu anajua anafanya vizuri...ulivyokuwa mnafki zaidi 2016 ulikua unamponda Konde boy kwakuwa alikua upande wa WCB upande ambao wewe huupendi...lakini mwaka huu unaleta unafki wa kumsapoti kwakuwa tu hayupo tena upande ambao wewe huupendi huu ndio uanamke tunaouongelea na sio ushabiki wa muziki.Jaribu kuficha chuki zako kwa MTU anayezidi kukuumbua kila Siku iendayo kwa mungu anafnya vizuri..tunahitaji tuwe na wasanii wengi kimataifa lakini sio kwa kumshusha Fulani kama nyie mnavyotaka
Ulivyokuwa una kichwa kibovu sasa unaambiwa sina timu na kila Siku nasema hapa na hata sasa nimesema sina timu lakini unang'ang'ania kunipa team...hii Mentality yenu ya kuamin kila anayemtetea Mond ni shabiki wa Mond ni mentality ya kipumbavu kuliko zote TanzaniaHehehehehe naona mnalia sina ushabiki kwa konde,nina post nyingi nimempondea nashangaa mnaogopa kuziweka hapa. Wachafu koge poleni jamani. Konde ndo hivyo tena mmeshindwa kumshusha
Ulivyokuwa una kichwa kibovu sasa unaambiwa sina timu na kila Siku nasema hapa na hata sasa nimesema sina timu lakini unang'ang'ania kunipa team...hii Mentality yenu ya kuamin kila anayemtetea Mond ni shabiki wa Mond ni mentality ya kipumbavu kuliko zote Tanzania
hili povu kafulie shumizi.Halafu hizo roho achia Dada zako kina Numbisa mwanaume kuchukia hustle za mwanaume mwenzio ni dalili za kuhitaji kuolewa kabisa..After all lini umeona Mimi Nina ushabiki wa kimaandazi kama mliokuwa nao nyie wenye timu zenu? Mimi nasifia anapohitaji kusifiwa awe Kiba,Mond,Harmonize n.k lakini huwa najisikia aibu sana kuona mwanaume kama wewe unakua na chuki za kikekike kwa MTU ambae kila mtu anajua anafanya vizuri...ulivyokuwa mnafki zaidi 2016 ulikua unamponda Konde boy kwakuwa alikua upande wa WCB upande ambao wewe huupendi...lakini mwaka huu unaleta unafki wa kumsapoti kwakuwa tu hayupo tena upande ambao wewe huupendi huu ndio uanamke tunaouongelea na sio ushabiki wa muziki.Jaribu kuficha chuki zako kwa MTU anayezidi kukuumbua kila Siku iendayo kwa mungu anafnya vizuri..tunahitaji tuwe na wasanii wengi kimataifa lakini sio kwa kumshusha Fulani kama nyie mnavyotaka
Uwe flexibleππππ unafiki mbaya.Hebu acha jazba za kike.
Kutwa nzima msanii yyoyote akionesha mafanikio mnamtukana, mnamuombea mabaya, mnakua na imani za kichawi kuwa ni Diamond pekee ndiyo anapaswa kufanya vizuri na pia hamuamini kuwa Diamond anaweza kufanya vizuri at the same time na mwingine akafanya vizuri.
Sasa jana mmeumbuka baada ya Diamond kupromote album ya Harmonize.
Jitahidi uwe shabiki wa vitu vizuri ili uwe flexible na sio uwe shabiki wa mtu binafsi akibadilika unabaki unaumbuka kama hivi.
Niko flexible ndiyomaana niliweza kumponda Harmonize alivyokua anamcopy Diamond na leo kabadilika kawa na style yake nampongeza na namkubali mnoo na hii ndiyo maana ya kuwa flexible.Uwe flexibleππππ unafiki mbaya.
View attachment 1389849
kuwa na consistency na wewe sio kushoto kulia kama mwanamkeNiko flexible ndiyomaana niliweza kumponda Harmonize alivyokua anamcopy Diamond na leo kabadilika kawa na style yake nampongeza na namkubali mnoo na hii ndiyo maana ya kuwa flexible.
Hivi ni uongo Harmonize alikua hamuigi Diamond kuanzia kuimba hadi kuvaa?
Ni mimi pekee niliyowahi kusema Harmonize wa Aiyola anamuiga Diamond kila kitu?
Harmonize alikua ni copy ya Diamond na watu wengi sana wamepiga kelele juu ya hilo mpaka Harmonize akajitafuta na kua yeye.
leo kawa Konde boy anashindanishwa na Diamond na sio kufananishwa na Diamond kama ilivyokua hapo awali.
Sasa nyie viherehere mkawa mnamtukana Harmonize baada ya kujotia WCB, jana mmeumbuka baada ya Diamond kupromote album ya AfroEast.
Kwakukushauri tu kuwa shabiki wa vitu zivuri ili uwe flexible kama nilivyo,
ukiwa shabiki wa mtu binafsi utaishia kuumbuka kama mlivyoumbuka baada ya Diamond kupost Album ya Harmonize.
Muulize mama yako kijijini huenda anafahamDah! Eti nasikia Mbio za Mwenge Zimestopishwa!!
πππππππππ 2016-2019 anafanana na Mondi ,2020 ndio hafanani na Mondi.Niko flexible ndiyomaana niliweza kumponda Harmonize alivyokua anamcopy Diamond na leo kabadilika kawa na style yake nampongeza na namkubali mnoo na hii ndiyo maana ya kuwa flexible.
Hivi ni uongo Harmonize alikua hamuigi Diamond kuanzia kuimba hadi kuvaa?
Ni mimi pekee niliyowahi kusema Harmonize wa Aiyola anamuiga Diamond kila kitu?
Harmonize alikua ni copy ya Diamond na watu wengi sana wamepiga kelele juu ya hilo mpaka Harmonize akajitafuta na kua yeye.
leo kawa Konde boy anashindanishwa na Diamond na sio kufananishwa na Diamond kama ilivyokua hapo awali.
Sasa nyie viherehere mkawa mnamtukana Harmonize baada ya kujitoa WCB, jana mmeumbuka baada ya Diamond kupromote album ya AfroEast.
Kwakukushauri tu kuwa shabiki wa vitu zivuri ili uwe flexible kama nilivyo,
ukiwa shabiki wa mtu binafsi utaishia kuumbuka kama mlivyoumbuka baada ya Diamond kupost Album ya Harmonize.
maisha hayapo hivyo.
jaman njoon mlione lingne hili huku lenye ubongo wa samakiUnafiki tu., bora liende sasa atafanyaje.
Huko siyo kupromote, ni kushare tu mara moja then it!s done !
Kwahiyo jana hakuna hat mtu mmoja wa WCB aliyepata muda wa kwenda Mlimani City kama ilivyokuwa kwenye harusi Serena.
Hakuna kitu sikipendi kama unafiki
Umemaliza mkuuAkipost watu watasema angekaa kimya watasema,kuna wengine wanasema support ya kinafiki,asingepost wengesema "ana roho mbaya kila siku anataka kuwa yy"
Lakini hii album WCB wana mchango mkubwa ktk uandaaji wake huo ndio ukweli,ukizisikiliza zile nyimbo nina uhakika ile album imepikwa ndani ya miaka miwili minimum,sizani kama Konde alikurupuka.
Tunaongea tu lkn Harmonize and Diamonds wana history,ambayo hata ufanye nini haiwezi futika.
Anamjua Konde ambaye hana kitu,alidharaulika BSS kakaa naye kampika kwa miaka mitatu then ndipo wakaanza kuachia nyimbo.
Humu JF kulikuwa na thread kibao za kumponda Harmonize anafanana na Diamond mpaka watu wakaponda Mondi anapoteza hela zake.Lkn akaziba masikio akaamini kuwa Harmonize anajua akawekeza hela yake leo Konde huyu hapa anafanya vizuri na husikute hao wanao msifia sasa hivi nyuma walikuwa wanamponda.
hili povu kafulie shumizi.
Diamond kupromote album ya Harmonize kumesababisha mmeumbuka mnoo.
Msirudie tena kumshambulia Harmonize, huyu kijana anapata support hadi kwa Diamond ambaye mlidhani ataunga mkono ujinga wenu wa kumtukana Konde boy.