Diamond Platinumz kweli hana uadui na Kiba Square

Diamond Platinumz kweli hana uadui na Kiba Square

Efendi

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2016
Posts
315
Reaction score
438
Leo asubuhi nimejionea wakati nacheki Wasafi tv baada ya kuiona nyimbo ya Abdu kiba ikipigwa kwenye channel hiyo mpya iliyozinduliwa mapema asubuhi hii
IMG_20180402_090034.jpeg
IMG_20180402_090021.jpeg
IMG_20180402_090021.jpeg
 
Mkuu amini kuna watu washakujua kumbe fulani ndio unajiita Mavugo kule Jf
 
Kikundi kidogo cha wapumbavu wanaojiita mashabiki wa Ally kiba, wanamtia ujinga kiba.
 
Badili tv hiyo ya nini kununua mtumba wakati dukani zimejaa
 
Back
Top Bottom