Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Star wa muziki, Diamond Platnumz, ameamua kutumia siku yake ya kuzaliwa kutoa msaada wa kiasi cha TSh 37 milioni kwa Producer Bakteria, ambaye kwa sasa anapitia changamoto za kiafya baada ya kupooza na kulazimika kukaa kitandani kwa zaidi ya miaka miwili.
Soma: Diamond Platinumz ampa milioni 10 Mzee Makosa, aliyekuwa tajiri mkubwa Iringa na kufilisika
Pia, Diamond alimpongeza Producer S2kizzy (Zombie) kwa moyo wa upendo aliouonyesha hivi karibuni alipofunga safari hadi Tanga kwenda kumjulia hali Bakteria na kumsaidia.
Producer Bakteria ni miongoni mwa vijana waliokuwa na mchango mkubwa katika kazi za muziki kupitia productions zake, lakini familia yake imekumbwa na changamoto kubwa kutokana na hali yake ya kiafya, hali iliyomfanya kushindwa kuendelea na kazi.