Diamond nusura achomwe kisu kasheshe kweli bongo yetu.............

Huyu naye aache ubaghili anatakiwa aajiri walinzi wake binafsi si kila mtu anampenda
 
Hiyo mwenye Ni timu Ally Kiba nini?...bongo bhana fulu burudani,fulu uzushi..
 
Haya magazeti huwa siyaamini hata kidogo...
 
Watanzania bhana,hivi kwa akili za kawaida mnaona hizo picha ni za tukio moja...kama ni kweli bas huyo muuaji ni ----,kwenye haraiki ya watu kma hivo anaendesha baiskeli..afu bisu liko nje nje.?shigongo wapeleke waandishi wako shule waache porojo.
 
izo ni cheap talks...probably uyo alikua mpitaji tu....
 
Anatafuta attention kaamua kutengeneza story. Sasa atakapochomwa akili itamkaa
 
hahaha..wanajaribu kufanya 2 isomeke 3, habari haina mbele wala nyuma.
 
Anatafuta attention kaamua kutengeneza story. Sasa atakapochomwa akili itamkaa

Kipenzi huko ni zaidi ya kumchukia ndomo, umeona kuna sehemu yoyote kapeleka taarifa ya kuwa alinusurika kuchomwa kisu? Hilo neno KUTAFUTA ATTENTION mbona limekuwa kama Wimbo wa TAIFA!!!! Usiamini kila unachokisikia, Utakuwa mwehu wa mwisho ukiyaamini magazeti ya udaku werevu washaacha kusoma hayo magazeti zamaaaaaaaaaaaaani za kuambiwa changanya na zako (in kikwete's voice)
 
haya magazeti yanafanana kabisa na mmiliki wake...hayana mvuto
 
yani magazeti ya udaku dah..kweli umbea umbeani.kisuchenyewe cha kukatia vitunguu
 
Kwa uchunguzi wangu picha ya mwenye kisu alikuwa kwenye misele yake pengine biashara za kutumia visu kama vile embe, machungwa, madafu n.k. Walichofanya waleta habari wakaunganisha na picha za tukio jingine ili kutengeneza habari.

Kweli kasheshe bongo yetu
 
Mbona sioni uhusiano maana huyu mwenye kisu naona anaendesha baiskeli tu
 
wanatamfuta kusingizia watu kama movie ya eskro vile....
 
Mi napitaga mbele ya duka LA Tanganyika arms...nadhani na Mimi nanusurikaga kupigwa risasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…